Kwanini Vodacom M-PAWA loan limit yangu haiongezeki?

Hii mikopo aisee.... Wanakukopesha 20,000/= unapata 16,000/=.

Ila sio mbaya kweny dharura isiyozuilika.

Kiujumla, gharama za kukopa Tanzania hata kupitia kwenye mabenki ni kubwa mno.
 
Naamini kwa asilimia kubwa hawawasaidii wenye shida bali wanawatumia kama mitaji ya kujitajirisha kwa haraka.
 
Ni kama wanatukomesha. Nikiangalia nchi zingine, wanakopesha kwa riba za 1 au 2% na hiyo ni benki kabisa, huku tunapigwa 25% au hata zaidi.
 
Keynez ukitaka mikopo ya namna hiyo jaribu kukopa Branch, au Tala wako vzuri ukilipa kwa wakati wanakopesha mpaka milioni, halafu hiyo avatar yako ya bulls nimewahi kuiona mahala Fulani .....hope wewe ni forex trader
Hamna kitu matapeli tu hao ...unampoteza mwenzio ...bora yeye voda wanampa laki ...huko unakopataja mwisho elfu 30 ...tala wezi tu
 
Hii branch inatoa pesa kwa akina nani, sijasikia mtu kakopeshwa huko maana ata mimi walinigomea
 
Branch wako complicated, naona mpaka wakupe huo mkopo wanataka access na simu yako, text messages zako, facebook account yako. Mara wanataka nibadilishe jina la kwenye facebook lifanane na legal name wakati majina ni ya kwangu tayari, mara nibadilishe privacy settings kwenye facebook ili post zangu ziwe public. Naona tutashindwana na hawa watu.
 
Hamna kitu matapeli tu hao ...unampoteza mwenzio ...bora yeye voda wanampa laki ...huko unakopataja mwisho elfu 30 ...tala wezi tu

Itabidi niende ofisini kwao hawa Vodacom wanieleze tatizo ni nini. Hawa wengine wana complications zaidi ya mabenki.
 
Back
Top Bottom