A Anonymous Guest Sep 27, 2026 #1 Je, NECTA au mwanasheria yeyote atakayeidhinishwa hawezi kusaini moja kwa moja kabla ya kuwakabidhi watahiniwa nyaraka husika?
Je, NECTA au mwanasheria yeyote atakayeidhinishwa hawezi kusaini moja kwa moja kabla ya kuwakabidhi watahiniwa nyaraka husika?
Los técnicos JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 3,031 Reaction score 2,668 Sep 30, 2026 #2 Anonymous said: Je, NECTA au mwanasheria yeyote atakayeidhinishwa hawezi kusaini moja kwa moja kabla ya kuwakabidhi watahiniwa nyaraka husika? Click to expand... Hii ni miongoni mwa hoja ambayo wanufaika waliileta tu kwa manufaa yao binafsi, pengine ili kada fulani ipate pa kula. Maana ikiwa saini yao inathibitisha uhalali wa cheti, mwanasheria ana utaalamu gani wa kujua cheti feki au halali?
Anonymous said: Je, NECTA au mwanasheria yeyote atakayeidhinishwa hawezi kusaini moja kwa moja kabla ya kuwakabidhi watahiniwa nyaraka husika? Click to expand... Hii ni miongoni mwa hoja ambayo wanufaika waliileta tu kwa manufaa yao binafsi, pengine ili kada fulani ipate pa kula. Maana ikiwa saini yao inathibitisha uhalali wa cheti, mwanasheria ana utaalamu gani wa kujua cheti feki au halali?