Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Usikose mashindano ya bonanza na kriketi wiki hii mkuu.Hasa uangalie ITV... habari za michezo ni bure kabisa, utaonyeshwa mashindano ya kukuna nazi.
ITV inabidi wafanyie kazi kitengo chao cha michezo.... Star TV na ubovu wao lakini Michezo na habari za kimataifa wanawakimbizaUsikose mashindano ya bonanza na kriketi wiki hii mkuu.
MARA NYINGI:TV zilizolipa malipo ya kuonyesha mpira,zinakuwa na haki ya kuonyesha mpira"Live",wale ambao hawakulipia wanaweza kumlipa fedha yule aliyepata haki ya kurusha matangazo mubashara.Huwa nashangazwa na jambo hili kwenye ligi yetu Tanzania mimi sio mfuatiliaji wa mpira mara nyingi nikiangalia taarifa za habari wasaa wa michezo huwa napenda kuangalia magoli yamefungwaje....
Hii kweli ipo katika mambo ya copyrights. Mfano kwenye habari za michezo za Sky News wanaonesha kabisa magoli ya ligi kuu England, lakini BBC wao wanaonesha matokeo tu na still pictures.MARA NYINGI:TV zilizolipa malipo ya kuonyesha mpira,zinakuwa na haki ya kuonyesha mpira"Live",wale ambao hawakulipia wanaweza kumlipa fedha yule aliyepata haki ya kurusha matangazo mubashara.
Kwa hiyo yawezekana TV zinakwepa kuonyesha magoli itakujakuwapa shida kwa vile itaonekana hawajawasiliana na "mwenye haki ya kuonyesha mpira mubashara"
Watakuwa Wanaogopa kuomba clip za azam sababu wao wanasema ni superbrand kumbe wanafelihuyu ni mpenzi mtamazamaji wa ITV/TBC
Habari za michezo huwa ni vituko vingi sana. Kama ulivyosema unaweza kuta labda Mtibwa kashinda 4-0 lakini reporter atabwabwaja hapo mpaka habari inaisha huoni goli hata moja au linaoneshwa moja na kujirudia hilo hilo.
Media kubwa kama ITV kwenye habari za michezo ni chenga kabisa. Habari za kuokoteza na video pia za kuunga unga.
Yaani hao ni bure kabisa.Hasa uangalie ITV... habari za michezo ni bure kabisa, utaonyeshwa mashindano ya kukuna nazi.