Kwanini Vyuo Vikuu Wanalazimisha Vyeti Kuwa na Alama za Ufaulu Tu, Ukifeli Lazima Ufanye Supplementary au Urudie Kozi

Kwanini Vyuo Vikuu Wanalazimisha Vyeti Kuwa na Alama za Ufaulu Tu, Ukifeli Lazima Ufanye Supplementary au Urudie Kozi

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Nimesoma Uzi mmoja unaohusu UDSM kufuta Supplementary and Special Examinations nikajiuliza swali moja. Hivi ni lazima mtu afaulu mitihani kwa kiwango cha C? Mbona NECTA wao wanakupa tu mpaka Division 5 na wanakuwekea F zako vizuri tu.

Kama mtu kapata F, apewe tu degree yake na F zake zionekane, mbona kama tunalazimisha watu wawe wataalamu?

Ni hoja tu, na hoja hujibiwa na hoja iliyo bora zaidi. Mapovu yanaruhusiwa. SITAWAFUNDISHA TENA.
 
Back
Top Bottom