Nimesoma Uzi mmoja unaohusu UDSM kufuta Supplementary and Special Examinations nikajiuliza swali moja. Hivi ni lazima mtu afaulu mitihani kwa kiwango cha C? Mbona NECTA wao wanakupa tu mpaka Division 5 na wanakuwekea F zako vizuri tu.
Kama mtu kapata F, apewe tu degree yake na F zake zionekane, mbona kama tunalazimisha watu wawe wataalamu?
Ni hoja tu, na hoja hujibiwa na hoja iliyo bora zaidi. Mapovu yanaruhusiwa. SITAWAFUNDISHA TENA.