Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa?
Inabidi tuanze kuhoji maana huu uuzwaji sasa unazua maswali!. Kama ni kukuza watalii je Zanzibar airport yao ina tofauti gani na hii ya KIA? Zote zinategemea utalii
Inaelekea wanauza wakijua miaka 5 ijayo watarudi kwao Zanzibar na kuwaachia airport yenu huko bara. Waziri mzanzibari, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro naye kawekwa kimtego Mzanzibari na Mama Mzanzibari wa wanaoza uendeshaji wa airport bila sababu za msingi. Kama mnakumbuka hata wakati mkataba unaisha pale KIA ilibidi bunge lilazimishe kujua ukweli maana walishaanza siri siri.
Vilevile Serikali itueleze je ni kweli au uongo kwamba wameeza misiti kwa waarabu kwenye mikataba ya carbon credits