- Thread starter
- #21
Huu ni ubaguzi!.
Nimeuandikia nyuzi mbili
- Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?
- Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?
P.
Naomba jibu tu kwanini KIA sio Zanzibar? Nikipata sababu nitaomba msamaha!