Huu ni ubaguzi!.
Nimeuandikia nyuzi mbili
- Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?
- Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?
P.
Mbona unajipa tabu sana ndugu, si uende moja kwa moja kwenye hoja kuwa unahitaji muwekezaji wa ki-israel au mzungu?!! Unazunguuuuka!Kuna vitu ambavyo nakaribisha hoja
1 . Kwa wanaosema ubaguzi mtueleze kwanini KIA na sio airport ya Zanzibar?
2. Kwanini haya mambo ya uwekezaji wa namna hii yanaenda ya viongozi wa Zanzibar mfano kwenye airport waziri ni?
Kwa wale wanaosema hatupendi uwekezaji
1. Kwanini tuwekeze sehemu ambazo hazina shida ya uwekezaji. KIA haina shida ya watalii sasa kwanini tunahijali uendeshaji kutoka kwa waarabu?
Kwanini wasiwekeze kwenye sehemu nyingine wanakimbilia sehemu ambazo Yaani tayari kuna pesa hakuna shida yeyote eti uwekezaji? Huu ni ukusanyaji pesa tu hakuna lingine. Kuna Kilimo, viwanda, sehemu nyingine zote hawataki kuwekeza ni airport ambayo ina abiria 1M kwa mwaka? Kuna shida gani airport ya kuwaita waarabu ambayo ipo KIA na sio Zanzibar?
Kibaya ni wasomi pumbavu na TISS yapo yapo tu wana enjmoy vibahasha na ofa za kwenda kula Raha nje, mama anawatumia kama rubber stamp, hawana Cha ku reason DG bandari hewa, wa TAA hana maana, ,tanapa na madudu ya hovyo kabisa, wanasheria serikalin just enjoying tips na offers za kusafiri abroad, TISS bize na visuti suti vyao hawana maana kabisa Kwa nchiTukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa?
Inabidi tuanze kuhoji maana huu uuzwaji sasa unazua maswali!. Kama ni kukuza watalii je Zanzibar airport yao ina tofauti gani na hii ya KIA? Zote zinategemea utalii
Inaelekea wanauza wakijua miaka 5 ijayo watarudi kwao Zanzibar na kuwaachia airport yenu huko bara. Waziri mzanzibari, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro naye kawekwa kimtego Mzanzibari na Mama Mzanzibari wa wanaoza uendeshaji wa airport bila sababu za msingi. Kama mnakumbuka hata wakati mkataba unaisha pale KIA ilibidi bunge lilazimishe kujua ukweli maana walishaanza siri siri.
Vilevile Serikali itueleze je ni kweli au uongo kwamba wameeza misiti kwa waarabu kwenye mikataba ya carbon credits
Airport na bandari za Zanzibar zinaendeshwa na Wafaransa nadhani pia kuna haja kungalia Arusha Airport ambayo ina miruko mingi ila menejiment ni ya enzi za mawe.Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa?
Inabidi tuanze kuhoji maana huu uuzwaji sasa unazua maswali!. Kama ni kukuza watalii je Zanzibar airport yao ina tofauti gani na hii ya KIA? Zote zinategemea utalii
Inaelekea wanauza wakijua miaka 5 ijayo watarudi kwao Zanzibar na kuwaachia airport yenu huko bara. Waziri mzanzibari, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro naye kawekwa kimtego Mzanzibari na Mama Mzanzibari wa wanaoza uendeshaji wa airport bila sababu za msingi. Kama mnakumbuka hata wakati mkataba unaisha pale KIA ilibidi bunge lilazimishe kujua ukweli maana walishaanza siri siri.
Vilevile Serikali itueleze je ni kweli au uongo kwamba wameeza misiti kwa waarabu kwenye mikataba ya carbon credits
Ungekuwa na akili kidogo tu, kwenye kichwa chako na siyo usaha basi ungegundua ya kuwa ZNZ tayari airport yake Yuko mwekezaji Muarabu na bandarini yupo muwekezaji mfaransa.Kuna vitu ambavyo nakaribisha hoja
1 . Kwa wanaosema ubaguzi mtueleze kwanini KIA na sio airport ya Zanzibar?
2. Kwanini haya mambo ya uwekezaji wa namna hii yanaenda ya viongozi wa Zanzibar mfano kwenye airport waziri ni?
Kwa wale wanaosema hatupendi uwekezaji
1. Kwanini tuwekeze sehemu ambazo hazina shida ya uwekezaji. KIA haina shida ya watalii sasa kwanini tunahijali uendeshaji kutoka kwa waarabu?
Kwanini wasiwekeze kwenye sehemu nyingine wanakimbilia sehemu ambazo Yaani tayari kuna pesa hakuna shida yeyote eti uwekezaji? Huu ni ukusanyaji pesa tu hakuna lingine. Kuna Kilimo, viwanda, sehemu nyingine zote hawataki kuwekeza ni airport ambayo ina abiria 1M kwa mwaka? Kuna shida gani airport ya kuwaita waarabu ambayo ipo KIA na sio Zanzibar?
Tanganyika ni wasengerema baridi, how come kanchi kama znz kanaiburuza tanganyika dailyZanzibar ina watetezi wake wenye uchungu na raslimali za nchi yao.
Tanganyika ni kama yatima, haina mtetezi. Imegeuzwa "shamba la Bibi" wanavuna tu watakavyo
Naunga mkono hoja Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!Mbona unajipa tabu sana ndugu, si uende moja kwa moja kwenye hoja kuwa unahitaji muwekezaji wa ki-israel au mzungu?!! Unazunguuuuka!
Huyo mama kamwe hamutomuweza kwa hoja zenu mufilisi hizo, Amewekwa na Mungu pale na atatolewa na Mungu.
Kia kwasababu inahitaji uwekezaji, Zanzibar tayari yupoNaomba jibu tu kwanini KIA sio Zanzibar? Nikipata sababu nitaomba msamaha!
Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa?
Inabidi tuanze kuhoji maana huu uuzwaji sasa unazua maswali!. Kama ni kukuza watalii je Zanzibar airport yao ina tofauti gani na hii ya KIA? Zote zinategemea utalii
Inaelekea wanauza wakijua miaka 5 ijayo watarudi kwao Zanzibar na kuwaachia airport yenu huko bara. Waziri mzanzibari, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro naye kawekwa kimtego Mzanzibari na Mama Mzanzibari wa wanaoza uendeshaji wa airport bila sababu za msingi. Kama mnakumbuka hata wakati mkataba unaisha pale KIA ilibidi bunge lilazimishe kujua ukweli maana walishaanza siri siri.
Vilevile Serikali itueleze je ni kweli au uongo kwamba wameeza misiti kwa waarabu kwenye mikataba ya carbon credits
Kia kwasababu inahitaji uwekezaji, Zanzibar tayari yupo
P
Na kwanamna tulivyo wajinga, tutampa kura za ndio kwa kishindo...Bila aibu 2025 atakuja kugombea sijui atajinadi kwa lipi
🤣 🤣 🤣Kibaya ni wasomi pumbavu na TISS yapo yapo tu wana enjmoy vibahasha na ofa za kwenda kula Raha nje, mama anawatumia kama rubber stamp, hawana Cha ku reason DG bandari hewa, wa TAA hana maana, ,tanapa na madudu ya hovyo kabisa, wanasheria serikalin just enjoying tips na offers za kusafiri abroad, TISS bize na visuti suti vyao hawana maana kabisa Kwa nchi
Nyie shabikieni tu upumbavu ,siku tukiamka tutaanza na nyie !Huu ni ubaguzi!.
Nimeuandikia nyuzi mbili
- Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?
- Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?
P.
Mama ana binadamu zake waarabu wa Oman tutaipata freshTukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule?
Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa?
Inabidi tuanze kuhoji maana huu uuzwaji sasa unazua maswali!. Kama ni kukuza watalii je Zanzibar airport yao ina tofauti gani na hii ya KIA? Zote zinategemea utalii
Inaelekea wanauza wakijua miaka 5 ijayo watarudi kwao Zanzibar na kuwaachia airport yenu huko bara. Waziri mzanzibari, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro naye kawekwa kimtego Mzanzibari na Mama Mzanzibari wa wanaoza uendeshaji wa airport bila sababu za msingi. Kama mnakumbuka hata wakati mkataba unaisha pale KIA ilibidi bunge lilazimishe kujua ukweli maana walishaanza siri siri.
Vilevile Serikali itueleze je ni kweli au uongo kwamba wameeza misiti kwa waarabu kwenye mikataba ya carbon credits
Hoja si hizo au unataka hoja gani chawa kutoka bububu?Acha upuuzi leta hoja acha udini na ukanda.