Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

Tuna uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kubuni! Mfuno wa maisha tunao ishi hakuna mwanadamu mwingine anaweza kuuzoea atakufa, kila kukicha mwafrika anabadilika ka vairasi aendane na mazingira, leo vita, kesho njaa, keshokutwa ebola, wiki ijayo migogoro ya siasa, hakuna ajira nakadhalika, lakini ikifika weekend club zinajaa na hawaendi kukopa!
Tatizo afrika ni ombwe la wasio na uwezo kiakili kuteka madaraka na mfumo wa elimu nao unaua kila siku ubunifu wa mwafrika anayeishi bara la afrika! Ughaibuni waafrika wenye uwezo ni lulu wanatumiwa vizuri sana tu! Ukiangalia mfano mdogo wa michezo ya Olympic, wameshindwa hata kwenda kuchukua mhazabe mmoja aende kwenye mashindano ya shabaha ya mshale achukue dhahabu pengine kamati ilitaka mtoto wa mwanasiasa aende hawa wa kina junia hawa!!!
Kujikomboa kwa mwafrika kuanzie kwenye leadership
 
Hamna hoja hapa

Kukiwa na tatizo tu mnataka tu play the victim card

Tukubali naturally ( genetically) tuna low intelligence ndo tulivyo tujikubali tuu


Ishu ya utumwa haiwezi kuwa sababu na utumwa haujaanza kwa mwafrika tu.

Another problem mnataka kufanya utumwa kama kitu personal hivi which is not !!!

Utumwa ulikuwa ni way of life almost Kila race imepitia utumwa sio sisi tu kuanzia wachina, wakorea, waarabu, wazungu wahindi wote at one point hizo society zilikuwa na slavery yet we are the only ones who still use that stupid excuse!!

It's been more than 60 years Toka tuanze kujitawala still tunalaumu wazungu kwa upuuzi wetu.

Ubinafsi, ujuaji, unafiki ndo vinatufanya tuwe hapa nasio wazungu wala wachina.

Sisi ndo nchi ambayo mwanahistoria anataka argue na daktari kuhusu tiba,

Mwalimu wa kemia anajifanya yeye ni Bora kwenye construction kuliko civil engineers wenye masters za structures kabisa

Daktari wa mwili anajifanya anaujua uchumi kuliko professor wa uchumi

Mchungaji anajifanya anajua virology and epidemiology kuliko ma virologists na epidemiologists

Yanii ujuaji juu ya ujuaji ndomana mambo hayaendi
 
kwasababu umeshakomaa (haukui tena), kula balanced diet, ukila vyakula vya wanga kwa wingi hakikisha umevifanyia kazi la sivyo ni majanga ya kunenepa na vitambi pressure kisukari etc, kula mboga za majani kwa wingi hasa zenye fibres na za kijani, kunywa maji ya kutosha kila siku, matunda asili ya kutosha kila siku, asali, protein kula kama utazifanyia kazi (mfano, mayai ukila sana yanasababisha cholesterol, nyama nyekundu ukila sana ni shida elewa kwamba ina zinc nyingi ambayo ndiyo inasababisha kuunda selli, hivyo utasababisha viotea kwenye mwili labda kama utakuwa unafanya kazi sana ili zitumike kubadili seli zilizokufa, vyakula vyenye zinc (nyama nyekundu, samaki, reguminous crops) vinasababisha kuzaliana sana kwa semen na sperms hivyo hakikisha ukila hivyo uwe unatumika vilivyo, kwa kifupi, kula mlo kamili (wenye matunda kwa wingi, wenye wanga kwa kadiri ya matumizi ya mwili wako, wenye mbogamboga, protein, maji everyday), na fanya mazoezi kila siku ya afya sio ya kuumiza mwili au ya kutanua mwili.

kwa watoto, jua kwamba watoto wanakua, hivyo walishe vyakula vya kukuza miili,ndio maana utakuta baba mfupimfupi ila mtoto tall balaa isipokuwa wanafanana sura tu ila mwili tofauti, ni vyakula. walishe sana samaki, viini vya yai, nyama ya kila aina, maharagwe, karanga, kunde, dengu nk, matunda, mbogamboga, maziwa, siagi/samli. pia waruhusu wafanye mazoezi na kujaribu kufanya kila jambo jema ili kudevelop ubongo wao kimatumizi.
 
Asante sana.
 
Tupe andiko linalo tetea hoja ya rangi nyeusi kuwa inferior. Halafu unakosea sana kuna wabantu weupe kama warabu lakini hawana hizo akili na kuna warabu, wahindi weusi sijui inawaweka kundi gani.
Tumesoma na warabu madarasani hawakuwa wakiongoza, tumesoma madrasa na warabu hawakukariri Qurani kirahisi, wote tuli strugle.
Ukisoma cognitive development theory haijaweka matabaka ya rangi, wewe omepata wapi hayo.
Botwana ni mfano wa nchi ilioweza kujisimamia kwa kutumia almas na mifugo na kuwa nchi ya kipato cha kati hivyo mtu mweusi anaweza akiamua.
Ubinafsi upo na ndio chanzo kimojawapo cha umasikini pamoja na uvivu. Waafroka hatupo motivated tunaishi kimazoea hatufuati ushauri wa kitaalamu kufanya mambo, ni wapuuzaji wakubwa tu.Muafrika mmoja mmoja huwa anaona hayamuhusu .
 
Familia nyingine hapo kijijini kwenu zilikuwa zinakula vyakula vya kisasa??
Hapana lakini wazazi walikuwa strict kwenye issue ya chakula though hata damu yetu ya familia ni kali tokea mtoto wa kwanza hadi mwisho. Huwezi kuwa unakula hovyo ukatengeneza sperms zenye nguvu ukazaa watoto wenye kueleweka.
 
Ukitaka kupata majibu sahihi we tafuta majitu ya ccm uzungumze nayo mambo muhimu ya taifa hilo utajua tu
 
naamini unaufananisha ustaarabu wa mtu mweusi na mweupe, lazima uone utofauti, anzia misingi ya tamaduni, ukoloni mpaka aina ya elimu tunayopata, naaamin utakua na jib nzuri zaid
 
Cc hapa Tanganyika tuna utajiri kama wa DRC unaokadiliwa kufika dollar Trillion 400 lakn tupo uchumi wa kati wakwenye maandushi!!
 
Mabeberu ni wanyama hebu angalia jinsi wanavyowachezea waarabu

Eti Saudis na wajinga wenzao wamedanganywa kwamba Iran ndio adui wao na sio Israel
 
Mawazo ya kizamani haya yalitokea kwenye ukomunisti.
Kutawaliwa haikufanyi nchi kuwa masikini.
Mbona black americans hawana tofauti na wazulu kwenye reasoning thou wamezaliwa ulaya
 
Kwahiyo wewe umeona ushoga ni ustaarabu au sio..

Chukua mapacha wawili mmoja akalelewe tandale mwingine masaki alafu wakutanishe ukubwani then jaribu kutofautisha Tabia zao.. usiwe kichwa maji kusema waafrika hafikirii vizuri siku nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…