Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

Mungu akupe maisha marefu . Ikiwezekana utunge kitabu kuwaeleza watoto na wajukuu zetu ukweli.

Wasomi wetu ni tatizo sana wanapoingia kwenye madaraka.
Wanakwapua Mali haraka haraka wanajijenga utajiri mkubwa kwa muda mfupi huku wakiwadanganya watu kuwa maendeleo ya nchi ni mchakato na kutoa mifano kuwa Hata Roma haikujengwa kwa siku moja. Yaani wao wanatajirika kwa sekunde lakini nchi inachukua karne nzima kujenga vyoo vya shimo mashuleni.

Mtu anateua miss aliyeishi Huko Marekani kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya za vijijini. Hivi Maisha ya Marekani yanaendana na Vijiji vya bongo vyenye migogoro ya ardhi na watoto wanakaa chini darasani.
Kwa nini usimpandishe Cheo Afisa Elimu au OCD au DSO au Afsa Utumishi wa Wilaya Au Afsa kilimo wa Wilaya mwenye sifa anayejua kwa undani changamoto za Vijijini ?

Watu wanapeana madaraka kirafiki ili watafune nchi na kulimbikiza Mali. Wakoloni walijenga Taasisi nyingi bila kujilimbikizia Mali. Leo roho ya ubinafsi ni kubwa mno kwa Waafrika Mpaka ndani ya taasisi za dini. Kiongozi wa dini ananunua ndege binafsi na familia yake badala ya kujenga shule au chuo hata cha ufundi cherehani na kuwafundisha watoto wa maskini bure. Wakoloni walijenga shule wakawafundisha akina Nyerere na Mkapa Mpaka wakawa marais kupitia taasisi za dini.
Leo watawala badala ya kuwaelekeza vizuri wale mabilionea wa kidini wanawatumia kwenye siasa kuiba kura na kuhalalisha maovu yao.

Kuna Mikoa kama Shinyanga , Dodoma kuna wafugaji wenye ngombe wengi sana. Huo ni utajiri mkubwa sana mana ngombe 2000 ni zaidi ya sh.BIL.1.3 ,lakini wanaletewa mkuu wa Wilaya anasema CCM itawajengea vyoo na kuwaletea umeme kwenye nyumba zenu za nyasi mana nyie ni wanyonge. Blalifuul.
Badala ya kuwaambia nyie ni matajiri wakubwa na Taifa linawategema kuinua uchumi.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app

Wanyonge, hili neno linawakera wengi 🤣

Kwakweli inackitisha sana mkuu1000 digits
 
Hapo kwenye dini ndipo kwenye upigaji Mkubwa sana hao manabii wa dotcom tofauti yao na wanasiasa ni ndogo sana wote utumia matatizo ya wananchi kama fursa, kiongozi wa dini akitaka gari nyumba uwachangisha waamini ila muumini akitaka nyumba gari Kazi eti anaombewa mara anauziwa mafuta,maji ya baraka,nk.,mfano leo jumapili utakuta waumini kibao wanatembea kwa miguu toka ibadani hadi nauli wametoa Ili wabarikiwe huku mchungaji na familia wapo kwenye v8 na mabodigadi kibao hadi kanisani,nilipewa Siri za mabodigadi wa wachungaji ni kwamba Ili kumlinda mtu yeyeto asikae nyuma ya mgongo wa mchungaji maana ndipo ile nguvu ya miujiza ilipo.Njoo kwa mwanasiasa , mwanasiasa anauwa uchumi kwa chuki zake na matajiri watu wanakosa ajira biashara na viwanda vinafungwa watu wanakosa Kazi wanageukia umachinga Ili watoto wasife njaa mwanasiasa huyohuyo aliyesababisha waajiriwa kuwa wamachinga anakuja na slogan ya kuwatetea eti kuwabatiza jina la wanyonge Ili awatumie kwenye sanduku la kura ni SAwa na kumnyonyoa kuku manyoya yote kisha unampa koti ajikinge.
Njoo kwa walimu wetu wanawapandikizia elimu mfu wanafunzi mara sijui ukoloni,sijui ukoloni mambo leo,sijui mabeberu,nk huwa najiuliza huo ubeberu sijui ukoloni mambo leo upo afrika pekee china, india, vietnam, brazil,falme za Uarabuni, Malasyia huko haupo? Haya yote ni mafunzo ya kupandikza uvivu na nadharia ya kuwatupia lawama wazungu juu ya kushindwa kwetu.Ni aibu sana karne ya sasa eti mito inamwaga maji baharini badala ya kumwaga mashambani watu walime mwaka mzima wauze nje tupate pesa za kuendeshea miradi kuliko kuwaongezea kodi watu masikini ambao awazalishi,mtu anaekula mara moja kwa siku au mara nne kwa wiki sababu amekosa mifumo ya kumfanya azalishe Ili achangie uchumi.
 
Si kweli kwani kwao Hakuna dini? Ukristo upo ulaya na maendeleo na ustaarabu wa ulaya chanzo ni dini ya Ukristo.
Maendeleo ya Uarabuni chanzo ni uislamu.
Thibitisha chanzo cha ustaarabu ulaya ni dini ya ukristo.
 
Mm naweza kusema tatizo ni elimu tuliyo patiwa sio mkombozi wa kizazi chetu. Viongozi tulio nao Ni zao la elimu yetu duni ambayo hatuonyeshi fursa za ki dunia hivyo huishia kua na mawazo yanayo sababisha tamaa matokeo yake tuna kutana na viongozi wapenda rushwa n.k
Labda hawa wapya wapya.. Ila wale wa kuzaliwa miaka 50+ kurudi nyuma, wengi walibahatika kusoma ulaya, lakini ndio yale yale...

Ngozi hii ina tatizo kubwa tu, sijui kisababishi.
 
Sorry kwa watakao feel offended

Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi
Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas.

Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!!

Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui Africa ya kati ni yale yale na ya Haiti ni yale yale.

Itoe South Africa ambayo waanchi wake weusi hawamiliki asilimia 80 ya uchumi!! Ukiwa umehodhiwa na wazungu.

Jibu kama mtu usie na mihemuko!!
Uwezo wetu upo hapo ulipoishia kama upnavyo wewe. Tatizo ni wewe kusema jambo ukiwa na taswira ya kudhani maisha ya mzungu yalipaswa kua ya mtu mweusi,havifanani na havitafanana maana tuliingia kuishi kwa kuiga hao weupe, hivyo basi hutoona tunaendana nao

Jibu la maana ni hili:- Lazima tuishi kama watu weusi na tufanye vya kwetu mpaka viwe ni vyenye thamani kuanzia elimu na uhalisia mzima wa maisha uendane na sisi wenyewe, sambamba na hilo lazima tuifanye Africa kua moja yenye majimbo yasiyo zidi matano tu. Utawaona mpaka hao wa Haiti na Jamaica wote wataanza kurudi kwenye asili yao (Kush)

JAH RASTAFARI I MORNING AFRICA.
 
Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.

Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.

Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja.

Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.

Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.

Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka.

Unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.

Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
Hili ni suala ambalo nchi nyingi zimepitia. mfumo wa kinyonyaji haukuanza kwetu pekee. hata Wazungu wenyewe kwa wenyewe wamefanyiziana sana lakini kila mtu kwa level yake ametoboa. wengine bado wanastruggle, mfano , ulaya mashariki. Haya, mashariki ya mbali, Singarpore, Malaysia, n.k. , zote zimetawaliwa na bado zipo chini ya Mmarekani kama nchi zingine. Cha ajabu, wenzetu kama kina Malaysia na Singarpore zimeonyesha kupiga hatua, sisi tunademka tu. Cuba, mpaka leo anakimbizwa na Mmarekani, fulu vikwazo. lakini ukifananisha, sisi tulipaswa kuwapa msaada Cuba lakini imekuwa kinyume chake. Ongeza na Iran, pata picha asingekuwa anabinywa na mabepari angekuwa wapi leo hii?

hoja yangu ni, mbona kuna waliotaitiwa zaidi ya sisi wanafanya vema kuliko sisi? so, bado kuna kitu kwa ngozi nyeusi, tusibaki tu na kigezo kimoja cha ukandamizaji wa wazungu. tuendelee kusaka majibu mkuu
 
Ukifanya case study utagundua mtu mweusi anaishi maisha magumu na ya dhiki sana baada ya UHURU anachomiliki ni uhuru wa kuwa UHURU hali akiwa ni mfungwa wa uchumi basic needs ni tabu kweli kweli kumudu kufa kwa kukosa panadol ya 500 ni jambo la kawaida, umasikini,njaa,magonjwa,vita,nk.Sidhani kama jehanamu kuna msoto kuliko huu wanaopitia wengi mtaani dhoofu hali,hali raslimali tele zimejaa shida uongozi mbovu, ubinafsi, ufisadi rushwa,nk.Mkoloni alituninyima UHURU lakini watu walishiba walipata basic needs elimu bora,afya bora,ajira tele mashambani, viwanda, kwenye biashara, mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali.Kazi ya mkulima ilikuwa ni kulima na sio kutafuta soko yaani we unalima soko lipo unavuna unapeleka ghalani unapewa pesa,ajira za kumwaga kwenye mashamba makubwa,migodi,nk.Wanaofaidi matunda ya UHURU afrika hawazidi 20% lkn wengi ni dhoofu hali.Bora ya mkoloni mweupe japo huna UHURU lakini unashiba kuliko mkoloni mweusi ndani ya dhiki kuu, maana maisha ya mwanadamu si zaidi ya kula na kunywa vingine ni kuukimbiza upepo,kama unaweza mudu kupata basic needs ya nn uuchoshe mwili.
 
Sorry kwa watakao feel offended

Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi
Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas.

Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!!

Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui Africa ya kati ni yale yale na ya Haiti ni yale yale.

Itoe South Africa ambayo waanchi wake weusi hawamiliki asilimia 80 ya uchumi!! Ukiwa umehodhiwa na wazungu.

Jibu kama mtu usie na mihemuko!!
utamaduni namba moja wa mwaafrika ni kutokuwamwaminifu. ndiyo maana hatueendelei kama nchi.
 
Hapo kwenye dini ndipo kwenye upigaji Mkubwa sana hao manabii wa dotcom tofauti yao na wanasiasa ni ndogo sana wote utumia matatizo ya wananchi kama fursa, kiongozi wa dini akitaka gari nyumba uwachangisha waamini ila muumini akitaka nyumba gari Kazi eti anaombewa mara anauziwa mafuta,maji ya baraka,nk.,mfano leo jumapili utakuta waumini kibao wanatembea kwa miguu toka ibadani hadi nauli wametoa Ili wabarikiwe huku mchungaji na familia wapo kwenye v8 na mabodigadi kibao hadi kanisani,nilipewa Siri za mabodigadi wa wachungaji ni kwamba Ili kumlinda mtu yeyeto asikae nyuma ya mgongo wa mchungaji maana ndipo ile nguvu ya miujiza ilipo.Njoo kwa mwanasiasa , mwanasiasa anauwa uchumi kwa chuki zake na matajiri watu wanakosa ajira biashara na viwanda vinafungwa watu wanakosa Kazi wanageukia umachinga Ili watoto wasife njaa mwanasiasa huyohuyo aliyesababisha waajiriwa kuwa wamachinga anakuja na slogan ya kuwatetea eti kuwabatiza jina la wanyonge Ili awatumie kwenye sanduku la kura ni SAwa na kumnyonyoa kuku manyoya yote kisha unampa koti ajikinge.
Njoo kwa walimu wetu wanawapandikizia elimu mfu wanafunzi mara sijui ukoloni,sijui ukoloni mambo leo,sijui mabeberu,nk huwa najiuliza huo ubeberu sijui ukoloni mambo leo upo afrika pekee china, india, vietnam, brazil,falme za Uarabuni, Malasyia huko haupo? Haya yote ni mafunzo ya kupandikza uvivu na nadharia ya kuwatupia lawama wazungu juu ya kushindwa kwetu.Ni aibu sana karne ya sasa eti mito inamwaga maji baharini badala ya kumwaga mashambani watu walime mwaka mzima wauze nje tupate pesa za kuendeshea miradi kuliko kuwaongezea kodi watu masikini ambao awazalishi,mtu anaekula mara moja kwa siku au mara nne kwa wiki sababu amekosa mifumo ya kumfanya azalishe Ili achangie uchumi.
Mkuu, JPM mpaka amekufa hajawahi toa walau hata trekta moja tu vijijini, alijenga fly over ili Dar iwe kama SA. Ni mkemia yule na alikuwa anajua jinsi TZ ilivyo na shida ya maabara ya kisasa shuleni, hakujenga hata moja ya mfano.
Huku vijijini mashule mengi ni magofu ya kulala popo, huwezi amini kama ni shule.
Huyu SSH nae msitegemee kama atapeleka hata trekta moja kule vijijini anampa Mwinyi Benz badala ya kuwapa wakulima trekta.
Hawa viongozi kweli wanazo akili ila si za kuleta maendeleo ya kweli bali ya hadaa hadaa, ukiwalinganisha na wenzao wa Asia unagundua wanazidiw ubongo mbali sana ndio maana Asia ni tishio kwa ulaya na USA na si Afrika.
 
Ni afrika pekee ndipo watawala upewa kinga ya kufanya uhalifu wowote ule ajisikiao bila kufanywa chochote.V8 moja ni sawa na treka 6 mpya trekta moja uajiri vijana zaidi ya 100 v8 moja ambayo nyingi zinashinda mijini ikiwemo kupeleka watoto shule kwa gharama za kodi zetu ni sawa na ajira 600,ni SAwa na chuo kimoja cha ufundi kikiwa na KILA kitu watu wapate elimu wazione fursa.
Tilioni moja iliyotumika kununua ndege zilizoajiri watu 400 zingetosha kununua matrekta laki 2 na vifaa vyake zikajiri vijana milioni 12 nchi nzima.
Huwezi ukaendelea kwa kutegemea kukamua kodi kwa watu wasiozalisha.
Tengenezea watu mazingira ya kuzalisha Ili ziada wauze nje upate pesa za kutosha.
Wakoloni walianza kwa kuinua kilimo ndipo vikaja viwanda.SGR, kuhamia dodoma,Chato airport, ikulu mpya havikuwa ni vitu vya ulazima wa haraka sana vingekuja kwa hatua baada kuboresha uzalishaji kwanza.
 
Ukifanya case study utagundua mtu mweusi anaishi maisha magumu na ya dhiki sana baada ya UHURU anachomiliki ni uhuru wa kuwa UHURU hali akiwa ni mfungwa wa uchumi basic needs ni tabu kweli kweli kumudu kufa kwa kukosa panadol ya 500 ni jambo la kawaida, umasikini,njaa,magonjwa,vita,nk.Sidhani kama jehanamu kuna msoto kuliko huu wanaopitia wengi mtaani dhoofu hali,hali raslimali tele zimejaa shida uongozi mbovu, ubinafsi, ufisadi rushwa,nk.Mkoloni alituninyima UHURU lakini watu walishiba walipata basic needs elimu bora,afya bora,ajira tele mashambani, viwanda, kwenye biashara, mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali.Kazi ya mkulima ilikuwa ni kulima na sio kutafuta soko yaani we unalima soko lipo unavuna unapeleka ghalani unapewa pesa,ajira za kumwaga kwenye mashamba makubwa,migodi,nk.Wanaofaidi matunda ya UHURU afrika hawazidi 20% lkn wengi ni dhoofu hali.Bora ya mkoloni mweupe japo huna UHURU lakini unashiba kuliko mkoloni mweusi ndani ya dhiki kuu, maana maisha ya mwanadamu si zaidi ya kula na kunywa vingine ni kuukimbiza upepo,kama unaweza mudu kupata basic needs ya nn uuchoshe mwili.
Je tunayo sababu ya kuendelea kuwatupia lawama viongozi wetu, je sisi raia nini nafasi yetu katika kujikomboa kifikra na kiuchumi?
Nasikia Nigeria wameisha puuza uongozi na viongozi wao, walishashajua kuwa viongozi hawatawaletea maendeleo yao kama raia hivyo wamejiongeza sana, wanasoma sana, wanasafiri, wanatumia fursa ya sanaa. kwa kweli matunda tunayaona na dunia nzima inajua Nigeria ni kitu gani.

Kwa nini Dangote aweze sisi tushindwe? Kwa nini mengi aliweza sisi tushindwe ? Kwa nini Moe ameweza sisi tushindwe ? Kwa nini Bakhresa ameweza sisi tushindwe.
Mimi nashauri lazima tuchukue mwelekeo binafsi badala ya mwelekeo wa wote, kwa sababu mambo huanza binafsi.

Je ni muda mrefu kiasi gani tutaendelea kuwalaumu watu ambao hawasikilizi na hawana uwezo wa kuyabadili maisha yetu?
 
Wazo zuri hata jangwani lzm utapata mmea wowote.Wanaochomoza kwa jitihada binafsi wapo,lkn vipi Jamii nzima ni nani awape maarifa wazione fursa zinazomzunguka? Elimu ndio kitu pekee kinachoweza badilisha fikra za watu kuelekea maendeleo,sizungumzii elimu za xyz au newton laws,au silmutenius equation hizi hazina msaada kwa mwanafunzi kwa ulimwengu wa Sasa labda kuchangamsha fikra tu.
Watu wapewe elimu ya kutumia mito,mabwawa,ardhi,misitu,wapate elimu ya masoko nje ya nchi,nk yaani elimu itakayowakomboa.Hii ya primary to chuo kikuu ni rubbish.
Kuwa na vyuo vikuu vingi katika nchi ni kuongeza idadi ya masikini nchini.Ilifaa vyuo vya ufundi, maarifa ya Jamii,kilimo darasa hivi ndivyo viwe vingi kama sekondari.
 
Ni laana kutoka kwa mwenyezi mungu tunatesana na kuuana, chuki ,uwongo ni kwa wafrika
 
Waafrica ni watu wenye uwezo mkubwa na wamejaliwa mali nyingi na ustahimilifu wa mazingira magumu. Sifa hizo zote kwa karne nyingi zimekuwa ni hofu kubwa dhidi ya wazungu.

Wanajua tukiweza kujitambua na kuendeleza raslmali zetu watakuwa na wakati mgumu sana, na pengine tunaweza kuwaangamiza na wakapotea, wao ni dhaifu, nchi zao hazina raslmali na hata hali za hewa kwao si rafiki.

Ili wao kuishi wanatutegemea kwa aslimia kubwa, hili liliwafanya wao kujihami mapema. Wakahakikisha wanapora mali zote na kutengeneza mazingira ambayo hatutakuwa kitu kimoja.

Mfano ni kutugawa katika nchi nyingi na kuhakikisha hatuongei lugha moja. Wao wameungana na wanaongea lugha moja, lakini Tanzania na Angola au congo mpk Cameron tuna lugha tofauti tofauti. Vile vile siasa zetu hazikubaliani. Jumuiya ya Africa mashariki tu imeshindikana.

Hivyo yote unayoyaona nchi za watu weusi ni ufefhuli wa mtu mweupe.
Alihakikisha kupitia Dini, vita na saikolojia anatutawala tusije amka na kujitambua kwa hali yoyote ile.

Alitutumikisha kama watumwa, jambo hili lilitudumaza watu weusi na kutuchelewesha kwa takribani miaka hata elfu moja nyuma dhidi yao. Ni kama unaanza mashindano ya mbio halfu mtu anakusukuma unaanguka.

Unatibiwa mpka unakuwa sawa then unaambiwa uendelee na mbio, huku mpinzani wako wakati wote huo yeye anakimbia kwa kasi kuelekea mwisho wa pambano, huku wewe ukikimbia kwa kuchechemea japo unauwezo na sifa zote za kushinda.

Naishia hapa, usijidharau. Tunafanyiwa rafu nyingi sana, kuhakikisha hatutoki hapa tulipo, maana wanajua tutakapotoka wao hawatakuwepo tena.
Mzungu anatubeba sana uafrika ni LAANA
 
Kwenye dini ndo walituweza [emoji24][emoji24]yaan kuna makundi ya watu wanajiona ni miungu watu yaan watakatifu .Tutakapo kuja kugundua ujanja wao huu tutapiga hatua .Dini imetufanya tuonane si ndugu.
Umeongea ukweli kabisa, mimi nina ndugu zangu wao ni dini ya upande wa pili, aisee yaani wanatubagua sana, wapo tayari kushirikiana na watu baki ambao wanaabudu pamoja, na sisi tumepotezewa kabisa, smh!!
 
Hata siku moja mjinga hawezi mtawala mwerevu kwa muda mrefu kiasi hiki tukubali tu hatujui kwan mzungu gn waga analimit mind yk
Nakubali kutokukubaliana tuishie hapa, wewe amini hivyo nami naamini namna hii.
 
Back
Top Bottom