mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Habarini wakubwa na wadogo. !
Ebu leo tuzungumzie kuhusu utofauti wa maisha katika bara la Africa na mabara ya ulaya tumekua tukishuhudia mambo makubwa sana kutoka kwenye mataifa ya ulaya kuanzia karne ya 16 hivi ., ikiwemo swala zima la teknolojia
Kiukweli tusiwe wanafiki wenzetu wamefika mbali sana
Mfano wametengeneza vitu vikubwa sana mfano rocketi, ndege kubwa , mashine,maroboti ,mitambo mikubwa sana n k
Ambapo waafrica tunashindwa hata sindano tu
Naona ni bora na sisi waafrica tuendeleze kitu kinaitwa "Uchawi"
Binafsi sio mchawi ila uchawi wetu waafrica tukiutumia vizuri hata mabara mengine na sisi tusingeweza kua hapa tulipo
Mfano mchawi wa kiafrica anaweza kutengeneza usafiri
Kama.
Ungo ni kama Ndege ya mzungu
Kupanda fisi. Ni kama piki piki ya mzungu
N.k
Hivyo. Uchawi huu tungeutumia vizuri bila ya kurogana naamini tungekua tumepiga hatua kimaendeleo tena sana tu...!
maana uchawi ndio tunaweza
Unless hatutakaa tuwafikie wazungu maana wefika mbali sana
Hivyo waafrika tuache kurogana badala yake tufanyie maendeleo