Kwanini Waafrika tusiwekeze kwenye Uchawi?

Huko mabara mengine kuna wachawi kushinda walio Africa.Tuseme kungekuwa na mashindano ya uchawi Olympic hata medal ya shaba tusingepata,,hata ngono starehe yetu bado tuko nyuma,,,sisi tuna safari ndefu bado.
 
Huko mabara mengine kuna wachawi kushinda walio Africa.Tuseme kungekuwa na mashindano ya uchawi Olympic hata medal ya shaba tusingepata,,hata ngono starehe yetu bado tuko nyuma,,,sisi tuna safari ndefu bado.
Wazo nzuri... ila wenzetu wazungu uchawi hawajaanza leo wala jana. tokea miaka 5000 kabla Yesu ajazaliwa walikua walishaanza uchawi.
 



hehehee pia mchawi wa Kiafrika anaweza kuja akajamiiana na we bila wewe kujua ni yeye...wewe unamuota mwinginee

Nasema hivi kwa evidence....Siku moja nilikutana na mbaba mmoja huyo baba ni jirani na nasikiaga kuwa anamambo ya kichawi (MGANGA)...akawa km ana ainafulani ya kunitaka...mimi nikawa namjibu kijeuri jeuri....siku nimelala nikaota mtu fulani ambaye nafanya nae kazi mwanaume kanijia tunajamiiana.....Kuamka asubuhi kukutana na yule baba akaniuliza leo umeota nini yaani kama vile anataka kuniambia kuwa kuna tukio ili nioni yeye ni mganga kweli....Aliponiuliza nikamjibu hakuna tukio lolote, akaniangaliaa akatabasamu...Huku kichwani nikamuwazia ahaaa kumbe wewe ndio umenifanyia vile....hapo hapo nikakasirika sikutaka kuongea nae tena...

Wachawi wa Kitanzania kiboko...Ila maendeleo hakuna sielewi kwanini wasitumie uchawi kwa maendeleo
 


Ila hata wazungu nao ni wachawi...Ukitaka kujua ni wachawi katika movies zao...wale wanachokiigiza wanamaanisha...
angalia : witches of east end seasons zake, pia haya mamovie ya mavampire ni mauchawi yao hayo...
Wachina pia nao ni wachawi saaanaa...mtu anakimbia angani tuu na kupigana angani.
Wahindi nao ni wachawi cheki movies zao hizi za tamthilia sio za Actions...utaona uchawi wao mbaya hasa..
 
chuma ulete kiwe kinatumwa bank ya dunia tuanzie hapo
 
Wa Africa tunajua majungu na unafkii tu ayo tuwaachiee wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…