Kwanini waafrika wanajibadilisha rangi?

Kwanini waafrika wanajibadilisha rangi?

Ni ujinga uliokithiri, inasemwa ukiona mtu anajichubua basi juwa huyo ana matatizo ya kiakili yaani yuko na low self esteem na ndiyo maana anajichubua ili alingane na mtu ama jamii fulani. Cha kushangaza utakuta mwanamke anajichubua na kuwa kama mzungu, cha kuckekesha angalia watoto wake....weusiiiiii kama wasudani wa kusini. This is so stupid.
 
Back
Top Bottom