Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Hasa shule hizi za watu binafsi wanaamini sana vyeti. Unaweza kuta mtu alimaliza form four akapata A's za physics na mathematics lakini akaamua kwenda kusoma HGL just kwa kupenda tu lakini siyo kwa kufeli. Ila unakuta labda uliamua kusoma sheria na huna ajira na baadae ukaamua uaply kufundisha hesabu shule flani na unaambiwa eti hujui hesabu kisa ulisoma hgl, hivi hiyo inakuwa ni akili kweli!!!!
Imagine una A halafu mtu aliyeenda kusoma PCM alikuwa na C ya hesabu O level lakini akajikongoja hivyohivyo ili tu ijulikane anajua hesabu.
Waajiri achaneni na vyeti siyo wote wanaosoma arts kwamba sayansi au mathematics hawajui ni matter of choice na interest tu.