kwani na wewe umelazimishwa kuwa mwalimu , si uache ufanye hizo kazi nyingine unazoona hazina lawama ...Mimi nashangaa lawama kibao kwa
"WALIMU"
Mbona mikoa isiyo na Chakula Maafisa KILIMO hawalaumiwi?Mbona RUSHWA imekithiri TAKUKURU hawalaumiwi? Wagonjwa kibao hufariki daily lakini MADAKTARI hawalaumiwi?
Kodi hazikusanywi ipasavyo mpaka nchi kuwa maskini lakini TRA hawalaumiwi? Je hii ni haki kweli?Walimu tumechoka lawama! Mtumie mwl yeyote unayemjua.
CC Madame B,Mamndenyi,Evelyn salt
Kwenye hiyo list, Ungewa-exclude madaktari..
Uhai ama kifo ni kudra za Mwenyezi Mungu....
Kama utawaondoa madaktari kwa kua kifo ni mpango wa mungu, basi usiwatuhumu walimu kwakua mungu ndio mpangaji wa kila kitu. Hata kufeli mitihani kwa mwanafunzi ni mpango wa mungu.
kwani na wewe umelazimishwa kuwa mwalimu , si uache ufanye hizo kazi nyingine unazoona hazina lawama ...