Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu,
Tumeona wimbi la mameneja kibao na wachezaji mastar kama ronaldo, sadio mane, eduado mendy, riyad mahrez, brozovic, mauro zaratte, neymar Jr, firmino, khalidou coulibaly, fabinho, benzema na wenzao wengine wakihama kutoka bara ulaya kwenda arabuni.
Bado sijaelewa hawa waarabu wanataka kupata nini? Je wanataka kubrand soka lao? na kama wanachotaka ni kuibrand ligi yao ili kitokee nini? au wanakuza utalii wa nchi yao?
Au labda wana mashindano makubwa ya kidunia huko mbeleni au nini hasa wanataka kukipata kwa kuchukua wachezaji ghali hivi duniani?
Ila hawana marefa aisee. naona ni risk sana mtu kama ronaldo kwenda ligi zisizoeleweka kama hizi maana hata kuumia ni swala la muda tu maana kuna jamaa wanaosha mipira kama kwenye ndondo za kinesi au kule mbagara kwa alimaua hlf unakuta refa anachekacheka tu. mtu anaweza kuondoka na stendi zako zote chap yani.