Kwanini Waarabu wanawachukua mastar wa soka kutoka bara ulaya?

Kwanini Waarabu wanawachukua mastar wa soka kutoka bara ulaya?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu,

Tumeona wimbi la mameneja kibao na wachezaji mastar kama ronaldo, sadio mane, eduado mendy, riyad mahrez, brozovic, mauro zaratte, neymar Jr, firmino, khalidou coulibaly, fabinho, benzema na wenzao wengine wakihama kutoka bara ulaya kwenda arabuni.

Bado sijaelewa hawa waarabu wanataka kupata nini? Je wanataka kubrand soka lao? na kama wanachotaka ni kuibrand ligi yao ili kitokee nini? au wanakuza utalii wa nchi yao?

Au labda wana mashindano makubwa ya kidunia huko mbeleni au nini hasa wanataka kukipata kwa kuchukua wachezaji ghali hivi duniani?

Ila hawana marefa aisee. naona ni risk sana mtu kama ronaldo kwenda ligi zisizoeleweka kama hizi maana hata kuumia ni swala la muda tu maana kuna jamaa wanaosha mipira kama kwenye ndondo za kinesi au kule mbagara kwa alimaua hlf unakuta refa anachekacheka tu. mtu anaweza kuondoka na stendi zako zote chap yani.
 
faida ya kwanza waliyopata toka wachezaji wakubwa wameanza kwenda kwenye Nchi yao ni kutangaza Utalii wa Nchi yao mfano mim nilikua Sjui Saudi arabia kama kuna Ancient Builduing ila saizi nimejua kupitia Cristiano Ronaldo maana kuna siku aliposti instagram faida ya pili Wanatangaza Tamaduni zao za kislamu kupitia awa awa wachezaji maana wanawavalisha islamic style kina Neymar,kina Laporte Faida zipo Nyingi sana hatuwezi kumaliza
Screenshot_20240302-230140.jpg
Screenshot_20240302-230444.jpg
Screenshot_20240302-230023.jpg
Screenshot_20240302-230440.jpg
 
faida ya kwanza waliyopata toka wachezaji wakubwa wameanza kwenda kwenye Nchi yao ni kutangaza Utalii wa Nchi yao mfano mim nilikua Sjui Saudi arabia kama kuna Ancient Builduing ila saizi nimejua kupitia Cristiano Ronaldo maana kuna siku aliposti instagram faida ya pili Wanatangaza Tamaduni zao za kislamu kupitia awa awa wachezaji maana wanawavalisha islamic style kina Neymar,kina Laporte Faida zipo Nyingi sana hatuwezi kumalizaView attachment 2922584View attachment 2922585View attachment 2922586View attachment 2922587
Asante kiongozi
 
Back
Top Bottom