johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndiyo Dr. Bashiru alikuwa PhD holder lakini amefanya ccm kiasi Cha kumfanya watu kumkumbuka? Aliharibu chama Sana Sana kuimba mapambio, kuharibu uchaguzi na mengine mengi! Elimu si tija ya kumfanya mtu kuwa kiongozi mzuri na bora!Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Analysis yako siyo sahihi.Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Ndiyo Dr. Bashiru alikuwa PhD holder lakini amefanya ccm kiasi Cha kumfanya watu kumkumbuka? Aliharibu chama Sana Sana kuimba mapambio, kuharibu uchaguzi na mengine mengi! Elimu si tija ya kumfanya mtu kuwa kiongozi mzuri na bora!
Kwani Bashiru siyo muongo muongo ?Siasa za bongo hazihitahi sana PhD bali ujanja ujanja ndivyo sivyo kibao....bla bla maneno meeengi na urongo pia....ukiwa msomi umenyooka hutaweza kwenda nazo....pia uwe umekulia humo kujua fitna zoote hizo
Dunia inaendakasi sana. nilishasahau kuwa CCM ilishawahi kuwa na katibu mkuu aliyeitwa Wilson MukamaHawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Hawajamfikia jpm kusaulika,mpka nyerere dei imegeuzwa kua jpm dei na bado anasaulika tuHawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
...Siasa...Za CCM Mkuu tu.Siasa za bongo hazihitahi sana PhD bali ujanja ujanja ndivyo sivyo kibao....bla bla maneno meeengi na urongo pia....ukiwa msomi umenyooka hutaweza kwenda nazo....pia uwe umekulia humo kujua fitna zoote hizo
MATUSI, MATUSI, BASI NA WEWE MAGU ALIKUTIA KIJITI KIREFU MPAKA NA ID YAKOunatiwa na kijiti kirefu
Mungu wao kafa, badala ya kumtegemea Mungu wa kweli wao walimtegemea mwanadamuHawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Hawana akili hawa, walifikiri siasa ni mchezo.Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Siasa za bongo hazihitahi sana PhD bali ujanja ujanja ndivyo sivyo kibao....bla bla maneno meeengi na urongo pia....ukiwa msomi umenyooka hutaweza kwenda nazo....pia uwe umekulia humo kujua fitna zoote hizo
Ukitaka kujua rangi halisi ya binadamu mpe utajiri haraka au madaraka (katika sayansi tungeita litmus test). Akibaki na utu ule ule wa awali basi huyo ndiye binadamu wa kupigiwa mfano. Wapo wachache sana duniani wa kupigiwa mfano.Wote uliowataja waliidumbukiza ccm matatani
Mukama huyu ndo hakufanya lolote tushukuru mze kinana kuja kuitoa ccm shimoni ilikokua imeelekea
Dr Bashir -kuibadili ccm kua ya kikomunist fully Hilo limemmaliza kabisa ,kutoka kijana pendwa kwenye medani zasiasa na uhojaji Mambo Hadi kuonyesha PhD sio ishu Sana
Kwa kipimo kipi mzee cha kusema aliharibu chama? Kurudisha mali zilizo ibiwa?Ndiyo Dr. Bashiru alikuwa PhD holder lakini amefanya ccm kiasi Cha kumfanya watu kumkumbuka? Aliharibu chama Sana Sana kuimba mapambio, kuharibu uchaguzi na mengine mengi! Elimu si tija ya kumfanya mtu kuwa kiongozi mzuri na bora!
Channel 10 si ameporwa Rostam Azizi na shetani.Bashiru alirudisha mali nyingi sana ndani ya CCM walizogawiwa washikaji bure. Kama Channel 10 nk.