Kiitikadi chama cha CCM ni cha mlengo gani?Wote uliowataja waliidumbukiza ccm matatani
Mukama huyu ndo hakufanya lolote tushukuru mze kinana kuja kuitoa ccm shimoni ilikokua imeelekea
Dr Bashir -kuibadili ccm kua ya kikomunist fully Hilo limemmaliza kabisa ,kutoka kijana pendwa kwenye medani zasiasa na uhojaji Mambo Hadi kuonyesha PhD sio ishu Sana
Hakieleweki, mixed pengine, mlengo Kati kushoto kipo Kati kulia kipo (ujamaa kipo na ubeberu kipo)Kiitikadi chama cha CCM ni cha mlengo gani?
huo ndo ukweli mkuuUkitaka kujua rangi halisi ya binadamu mpe utajiri haraka au madaraka (katika sayansi tungeita litmus test). Akibaki na utu ule ule wa awali basi huyo ndiye binadamu wa kupigiwa mfano. Wapo wachache sana duniani wa kupigiwa mfano.
Viambatanishi! Na si mnasema wafuate Katiba?Hakieleweki ,mixed pengine ,mlengo Kati kushoto kipo Kati kulia kipo (ujamaa kipo na ubeberu kipo)
Watanzania niwabeberu tayari kuwarudisha kusikoeleweka utakwisha
Mwalimu wangu alinifundisha kuwa, katika nafasi za uongozi, maranyingi wanataaluma wenye PhD na professor sio waziri katika nafasi za uongozi na haswa pale uongozi huo unalenga kutoa huduma na maamuzi ya kijamii kwakuwa wanafalsa wanazoziamini na hawapendi kuzigeuka. Pia, hawana uchangamano na maisha halisi ya jamii inayowazunguka Hali inayopelekea kukosa kutambua maisha halisi ya kijamiii.Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Wamesahaulika na Nani? Au ninyi ndio mmewasahau, ushauri nenda lumumba uwaulize!!!!!!!Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Kitendo cha bashuri kutuletea ukomunist kimemfanya tumuone mtu wa ajabu anayeishi fikra za miaka 60 katika ulimwengu wa kisasa PhD ni muda wa kukaa saratani sio uwezo wa akiliWote uliowataja waliidumbukiza ccm matatani
Mukama huyu ndo hakufanya lolote tushukuru mze kinana kuja kuitoa ccm shimoni ilikokua imeelekea
Dr Bashir -kuibadili ccm kua ya kikomunist fully Hilo limemmaliza kabisa ,kutoka kijana pendwa kwenye medani zasiasa na uhojaji Mambo Hadi kuonyesha PhD sio ishu Sana
Pia na kujipendekeza kukiwemoSiasa za bongo hazihitahi sana PhD bali ujanja ujanja ndivyo sivyo kibao....bla bla maneno meeengi na urongo pia....ukiwa msomi umenyooka hutaweza kwenda nazo....pia uwe umekulia humo kujua fitna zoote hizo
Bilioni 30 si za ruzuku? Kwa ushindi upi was halali ambao chama kilishinda? Aliratibu magenge ya kununua wapinzani kwa kivuli Cha kuunga mkono juhudi za magufuri,, pesa ya dhambiunatiwa na kijiti kirefu
bashiru kaingia ccm ikiwa inaingiza 2bn kwa mwaka
leo inaingiza 30bn kwa mwaka kama initiative zake
hilo hauwezi kuambiwa, maana mnapenda wanachekesha na kuongea sana jukwaani
Hakuna katibu mjinga amewahi tokea CCM Kama Bashiru!Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Na mbaya zaidi Bashiru, Polepole na Majaliwa wakataka kuchukua nafasi ya urais baada ya msukuma kufariki.Ndiyo Dr. Bashiru alikuwa PhD holder lakini amefanya ccm kiasi Cha kumfanya watu kumkumbuka? Aliharibu chama Sana Sana kuimba mapambio, kuharibu uchaguzi na mengine mengi! Elimu si tija ya kumfanya mtu kuwa kiongozi mzuri na bora!
Channel 10 si ameporwa Rostam Azizi na shetani.
Bashiru huyu huyu aliyeenda kumwambia Samia “magufuri amesema ujiuzuru hawezi kuendelea kufanya kazi na wewe” kwenye nafasi ya makamu wa rais ili yeye na genge lake (majaliwa, polepole na bashiru) wachukue nafasi za juu baada ya kusikia msukuma alikufa muda mrefu wakaendelea kutwambia hajafa ili wapindue meza!?!?unatiwa na kijiti kirefu
bashiru kaingia ccm ikiwa inaingiza 2bn kwa mwaka
leo inaingiza 30bn kwa mwaka kama initiative zake
hilo hauwezi kuambiwa, maana mnapenda wanachekesha na kuongea sana jukwaani
Kiitikadi chama cha CCM ni cha mlengo gani?
Dr .Bashiru c mtu wa CCM.....uteuzi ndio ilibidi awe.lknHawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Mwambie zilikua zinatoka kwamajambazi Kama sabaya na vyazo vingine harafu wanapika data zaccmBilioni 30 si za ruzuku? Kwa ushindi upi was halali ambao chama kilishinda? Aliratibu magenge ya kununua wapinzani kwa kivuli Cha kuunga mkono juhudi za magufuri,, pesa ya dhambi
Ujamaa ulikataliwa na nyerere mwenyewe toka 1992 ,aliamua kutumia fikra za kambona upumbavu uliofanyika wanashindwa kufuta kimaandishi kwasababu ya ujinga uliokuwepo kwa wananchi kutokuelewa na kuhojiViambatanishi! Na si mnasema wafuate Katiba?View attachment 1977152View attachment 1977153
Na jambo la kushangaza CCM chini ya uongozi wao hamna la maana walilolifanya. Mukama viatu vya Mzee Makamba vilimpwaya kabisa. Na bila JK kumrudishia Komredi Kinana kuchukua nafasi ya Mukama CCM ilishakuwa hali mbaya. Turudi kwa Bashiru kafanya nini cha maana kwenye chama zaidi ya kusifia? Alikuwa naye mungumtu akifikia hatua ya kutishia kuwafukuza kazi watendaji wa serikali msajili wa vyama na Waziri wa Tamisemi. Lilikuwa janga. Wote wawili hamna anayemsogelea Mzee Makamba wala Komredi Kinana wale walikuwa wameandaliwa kuwa viongozi na hawakuwa na roho mbaya.