tutamkumbukamagu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 317
- 270
wakisaahaulika wewe binafsi huna unachofaidiBashiru huyu huyu aliyeenda kumwambia Samia “magufuri amesema ujiuzuru hawezi kuendelea kufanya kazi na wewe” kwenye nafasi ya makamu wa rais ili yeye na genge lake (majaliwa, polepole na bashiru) wachukue nafasi za juu baada ya kusikia msukuma alikufa muda mrefu wakaendelea kutwambia hajafa ili wapindue meza!?!?
hawa hawafai wasahaulike tu na siasa zao za tamaa na ulafi wa madaraka.
Sitaki kuamini kama huoni faida kwa nchi hawa babu zako kukaa pembeniwakisaahaulika wewe binafsi huna unachofaidi
Kwa akili yako walisaidia nini nchi na PhD zao?Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Bora hata Chalamila hao ni wajinga kabisa wakutupwaHao bila magufuli ni SAwa na chalamila tu.
Mbona hujasema kitu kuhusu dr wako bashiru?!! Kwangu mimi huyu ni mfano hai wa wasomi wasio na maana katika taifa hili...Analysis yako siyo sahihi.
1. Kinana amesahaulika kidogo, anasikia kwa kuwa na vi scandal vya meno ya ndovu, kukwaruzana na Magufuli...... hasa hi ilimfanya awe live sana.
2. Mukama alikuwa kama sanamu, sijui alifanya nini duniani ya CCM
3. Makamba ni maneno maneno mengi.... too talkative kiasi kwamba he raises the attention of those interested in politics and the mass at large. Pli uwepo wa january serikalini unamfanya akumbukwe sana.
Dunia inaendakasi sana. nilishasahau kuwa CCM ilishawahi kuwa na katibu mkuu aliyeitwa Wilson Mukama
30b za uporaji. Eti Channel ten nayo imekuwa mali ya CCM ?unatiwa na kijiti kirefu
bashiru kaingia ccm ikiwa inaingiza 2bn kwa mwaka
leo inaingiza 30bn kwa mwaka kama initiative zake
hilo hauwezi kuambiwa, maana mnapenda wanachekesha na kuongea sana jukwaani
Channel ten iliibwa lini CCM?Kwa kipimo kipi mzee cha kusema aliharibu chama? Kurudisha mali zilizo ibiwa?
Sisi wengine tuliyaona zamani,Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
We unaejua tuambie kabla ya ile kamati nani alikuwa anamiliki Chanel ten?Channel ten iliibwa lini CCM?
Msijifanye mnajua kuliko watanzania wote
Mbona wewe umewakumbuka kwa Niaba ya Wanaccm wenzakoHawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Rostam AzizWe unaejua tuambie kabla ya ile kamati nani alikuwa anamiliki Chanel ten?
Pure, Bashiru ni takatakaMbona hujasema kitu kuhusu dr wako bashiru?!! Kwangu mimi huyu ni mfano hai wa wasomi wasio na maana katika taifa hili...
Wewe nawe huna akiliunatiwa na kijiti kirefu
bashiru kaingia ccm ikiwa inaingiza 2bn kwa mwaka
leo inaingiza 30bn kwa mwaka kama initiative zake
hilo hauwezi kuambiwa, maana mnapenda wanachekesha na kuongea sana jukwaani
Kwa kipimo kipi mzee cha kusema aliharibu chama? Kurudisha mali zilizo ibiwa?
Uongo na ujinga uwa havidumu...Hawa wawili Dr Bashiru Ally na Dr Wilson Mukama ndio makatibu wakuu wa CCM waliojaliwa PhD.
Wengine akina Kawawa, Kolimba, Gama, Kinana, Makamba nk...nk ni wasomi wa kawaida siyo wabobezi labda Gama ndio alikuwa na Udaktari wa zamani.
Najiuliza tu kwanini Bashiru na Wilson wamesahaulika kwa haraka sana tofauti na mzee Makamba au Kinana waliowahi kuitwa na kamati ya maadili ya Lumumba?!
Dominica Njema!
Alitumwa tu na mkiti kama boyaBashiru alirudisha mali nyingi sana ndani ya CCM walizogawiwa washikaji bure. Kama Channel 10 nk.