Kuna siku niliota ndoto, kuna mtu(mwanaume) Kanizuga na kitu kama hela, kisha akatoloka na simu yangu,
Kwenye kumtafuta kaelekea wapi kuna dogo nikawa namuuliza, tukatoka nae anaonyeshe kaenda wapi jamaa,
Tukapita kwa binti mmoja akawa anamuuliza kama kamuona, huyo binti akasema hapa hajaja kapita tu.
Nikaona huyo binti analichokulia uzito swala langu, akadai huyo jamaa lazima arudishe simu hiyo. Ndoto ikaisha.
in real life.
Huyo Jamaa - Ni dingi bishoo hapa taa wetu na sina mazoea nae.
Dogo - Huyo ni muuza chapati hapa mtaa wetu.
Binti - na yeye anakaa mtaa wetu.
Sasa nikawaza huyu adui wa kuiba simu yangu kwenye maisha ya kawaida atakua nani, ni yupi kati ya marafiki zangu, na mm nina marafk wengi sio wakuaminika.
Basi asikwambie mtu, huyo binti kwenye Ndoto nikaamua kumtongoza in real life, alikuwa ananipenda balaaaaaaaaaaaa. haswa.
So, Dreams is a window to check nini kinaendelea, mazingira yako na wewe hujui. usichokijua.