Kwanini wabongo wengi ni wanafiki?Tatizo ninini?

Kwanini wabongo wengi ni wanafiki?Tatizo ninini?

Ray model

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
207
Reaction score
185
Hili swali nashindwaga kujijibu

Hivi kwanini wabongo kuna wengi sana ni wanafiki wakiwa nyusoni mwa watu lakini kwenye mioyo yao ni tofauti??

Huu unafiki wa sitaki( akiwa public na akiongea na wengine)
Nataka (ndani ya moyo wake na akiwa mwenyewe)

Why tusiwe wakweli?
Mnajua namna unafiki unavyotafuna jamii??

Kwanini usiwe real??
 
maisha yanahitaji unafki zaidi kuliko kuwa mkweli
 
Iliniuma sana kumjua rafiki mnafiki alininyanganya tonge mkononi jamaa.



Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom