Kwanini wabunge wa viti maalum Chadema wanaitwa ni wabunge kutoka Chachandu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.

Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.

Kazi Iendelee!
 
Chachandu ndo haohao Chadema wanookota hoja za tweeter na matukio ya nchi kisha kuyafanya chachandu ya kunogesha chama chao.
 
Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.

Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.

Kazi Iendelee!
Bila shaka ni chama kipya ña nilivyoelewa ni chama cha mieshimiwa moja hivi.
 
Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.

Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.

Kazi Iendelee!
Uzi tayari siyo!!
 
Ni wabunge 19 wa Ndugai na mwenzake jpm, na ni covid-19 hao ndio itawamaliza watu hawaelewi tu lugha ya picha.
 
Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.

Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.

Kazi Iendelee!
Tutafika tu
Mbona wameanza kudharaulika mapema hivo...
 
Back
Top Bottom