johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe!!Chachandu ndo haohao Chadema wanookota hoja za tweeter na matukio ya nchi kisha kuyafanya chachandu ya kunogesha chama chao.
chama cha ndu.guy kwa usajili wa jiweChama cha nduguy
Bila shaka ni chama kipya ña nilivyoelewa ni chama cha mieshimiwa moja hivi.Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.
Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.
Kazi Iendelee!
Chama Cha Ndugai (CHACHANDU)Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.
Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.
Kazi Iendelee!
Chama Cha Ndugai aka king'amuziChachandu ndo haohao Chadema wanookota hoja za tweeter na matukio ya nchi kisha kuyafanya chachandu ya kunogesha chama chao.
Uzi tayari siyo!!Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.
Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.
Kazi Iendelee!
Ni wabunge 19 wa Ndugai na mwenzake jpm, na ni covid-19 hao ndio itawamaliza watu hawaelewi tu lugha ya picha.Nakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.
Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.
Kazi Iendelee!
Tutafika tuNakutana na hili neno sehemu nyingi leo hii kwamba hawa akina Halima Mdee na wenzake ni wabunge kutoka CHACHANDU.
Ndio nauliza Chachandu ni chama kipya? Maana sijawahi kukisikia.
Kazi Iendelee!
Covid 19 itakavyodhalilika iwamu ya Sita chachanduChama Cha Ndugai (CHACHANDU)