johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wachambue nini wakati Zitto ni CCM? Yumo kitanda kimoja nao Zanzibar. Hivyo, hana tishio lolote kwao wala jipya. Ni sawa na Mrema, Cheyo, Lipumba na wasakatonge wengine.Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu.
Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo ATCL.
Freeman Mbowe yeye alijikita kuuelezea utawala wa awamu ya tano ulivyohitimika na kuanza kwa utawala mpya wa awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan
Wabunge wengi akiwemo Spika Ndugai wameonekana kuvutiwa zaidi na hotuba ya Mbowe na hakuna anayemzungumzia Zitto Kabwe kabisa.
Najiuliza kwanini?
Ramadhan Kare
Hivi ww na akili zako unaamini huyu ndo mpinzani wa kweli? Alichokifanya 2015, kuchukua wagombea wa CCM kuja kuwapa nafasi ya kugombea Chadema katika nafasi ya uraisi na ubunge unafikiri lilikuwa swala la bahati mbaya? Hao wote wachumia tumbo, na wapo upinzani kwa masilahi na mikakati maalumWachambue nini wakati Zitto ni CCM? Yumo kitanda kimoja nao Zanzibar. Hivyo, hana tishio lolote kwao wala jipya. Ni sawa na Mrema, Cheyo, Lipumba na wasakatonge wengine.
Naye ni CCM ila mwenye kuhitaji kupewa kitu mara kwa mara tofauti na wenzake. Kwa ufupi Tanzania hakuna wapinzani. Kama wapo basi wapo humu Jf.Hivi ww na akili zako unaamini huyu ndo mpinzani wa kweli? Alichokifanya 2015, kuchukua wagombea wa CCM kuja kuwapa nafasi ya kugombea Chadema katika nafasi ya uraisi na ubunge unafikiri lilikuwa swala la bahati mbaya? Hao wote wachumia tumbo, na wapo upinzani kwa masilahi na mikakati maalum
View attachment 1753745
Kweli kbs mkuu, umeongea point tupuNaye ni CCM ila mwenye kuhitaji kupewa kitu mara kwa mara tofauti na wenzake. Kwa ufupi Tanzania hakuna wapinzani. Kama wapo basi wapo humu Jf.