Kwanini wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM wanakuwa na " chuki binafsi" na chama chao cha zamani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Tofauti na wabunge wa vyama vingine wanaohamia chama tawala CCM, wabunge wanaotoka Chadema huwa na chuki sana na chama chao cha zamani kana kwamba walifukuzwa.

Wabunge wote wa Chadema waliotoka CCM labda ukimtoa Ole millya wakisimama tu bungeni jambo la kwanza ni kuikejeli Chadema. Hata huyu Selasini jana aliposimama badala ya kuzungumzia madaraja ya Rombo yaliyosombwa na mvua yeye kaanza kuishambulia Chadema.
Hali hii siioni kwa wabunge wa Cuf waliohamia CCM au ni kwa sababu Uislamu unakataza sana Unafiki.

Kuna yule Dr Mollel au Waitara duh......hadi wanachosha.

Niwakumbushe tu ukishahamia CCM fanya ya Lumumba kuitajataja Chadema ni kama vile bado " unaitamani" na huko CCM umekuja kwa kulazimishwa au umefuata maslahi tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnatukana sana matusi ndo maana nao wanafanya reactions, chadema mbadilike msiwatukane na kuwadhalilisha wanaowahama lasivyo mtazidi kujiongezea maadui.

Yaani nikifikiriaga Dr. Slaa alivyoipiganiaga cdm ila siku kahama alitukanwa matusi yote, hivi mnategemea IPO siku Dr. Slaa ataisema vizuri cdm kwa matusi Yale? Mara Dr. Mihogo Mara cjui nn
 
Kenge huwa hasahau shimo lake bwashee, acha waote jua kwanza.... ndicho hasa kimewaleta huko.
 
Hakuna sababu tofauti ya dhambi ya USALITI. Hiko ndicho hasa kinachowatesa
Pia chukulia wanoitwa walokole ambao wametokea katoliki,kkkt, anglican

Na wao husumbuliwa na dhambi kutwa kutukana madhahebu waliyotoka.
 
Ok
tapatalk_1587067530750.jpeg

Sent by IPhone
 
Wanataka kunfurahisha Jiwe au Bashiru/Chakubanga kuona kama watapewa vyeo. Ni technique ya kutafuta kuganga njaa!
 
Mnatukana sana matusi ndo maana nao wanafanya reactions, chadema mbadilike msiwatukane na kuwadhalilisha wanaowahama lasivyo mtazidi kujiongezea maadui. Yaani nikifikiriaga Dr. Slaa alivyoipiganiaga cdm ila siku kahama alitukanwa matusi yote, hivi mnategemea IPO siku Dr. Slaa ataisema vizuri cdm kwa matusi Yale? Mara Dr. Mihogo Mara cjui nn
Sijawahi kumsikia Dr Slaa wala Dr Mashinji wakiitukana Chadema....... Ila hawa wenye elimu za kwenye jalala.
 
Nikutokujielewa hao wabunge Tena wangeshukuru CDM kuwapa platform Hadi wakawa wabunge, ingetakiwa wawaheshimu Sasa huyo mwita, na huyo mollel hata sura zao zinatisha kwa kweli too much hatred, wabunge wa CUF wanajielewa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkulu atawashangaza sana mwaka huu, acha tusubiri
 
Hakuna sababu tofauti ya dhambi ya USALITI. Hiko ndicho hasa kinachowatesa
Pia chukulia wanoitwa walokole ambao wametokea katoliki,kkkt, anglican

Na wao husumbuliwa na dhambi kutwa kutukana madhahebu waliyotoka.
Naomba nisemee hapo kwenye imani. Mtu anapookoka, yaani kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, yaani kuzaliwa mara ya pili, anaanza kuongozwa na Roho Mtakatifu. Mtu huyu anahama kiimani kutoka level ya "dini" (mapokeo) na kuingia katika kuongozwa na Roho. Wakati huu ataanza kufunuliwa mambo mbalimbali kupitia kusoma Neno la Mungu yaani Biblia. Wakati huu atayabaini mapungufu yaliyoko kwenye dini aliyokuwa. Pindi atakapoanza kuayasema mapungufu hayo, ataonekana anatukana ama anaibeza dini hiyo. Lakini kimsingi unakua anatamani waliobaki humo kwenye wastuke nao waujue ukweli ili nao waanze kumfaidi Mungu wao yaani Yehova.

Kwa mfano, mimi binafsi baada ya kuokoka nilibaini kuwa sio sawa, yaani sio ki-Biblia kuwabatiza watoto wadogo kwani wanakuwa hawajaweza kupambanua baya na jema hivyo hawajaweza kuamini. Pia ubatizo wa kunyunyizia maji sio sahihi, bali ni sharti mtu aliamini azamishwe ndani ya maji kwa maana ya kuuzika utu wa kale.

KWA KIFUPI MTU KABLA HUJAOKOKA UNAKUWA NI MTU UNAYEMWABUDU MUNGU KATIKA AKILI (NAFSI) TU, ILA MARA TU BAADA YA KUUPOKEA WOKOVU NDIPO UNAPOANZA KUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO.

...
Jesus is Lord!

Aisee you totally wrong ngoja nitulie nije kukuelimisha.
 
Amina!
 
Mnatukana sana matusi ndo maana nao wanafanya reactions, chadema mbadilike msiwatukane na kuwadhalilisha wanaowahama lasivyo mtazidi kujiongezea maadui.

Yaani nikifikiriaga Dr. Slaa alivyoipiganiaga cdm ila siku kahama alitukanwa matusi yote, hivi mnategemea IPO siku Dr. Slaa ataisema vizuri cdm kwa matusi Yale? Mara Dr. Mihogo Mara cjui nn
Malizia padri mzinzi
 
Back
Top Bottom