johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Sijawahi kumsikia Dr Slaa wala Dr Mashinji wakiitukana Chadema....... Ila hawa wenye elimu za kwenye jalala.Mnatukana sana matusi ndo maana nao wanafanya reactions, chadema mbadilike msiwatukane na kuwadhalilisha wanaowahama lasivyo mtazidi kujiongezea maadui. Yaani nikifikiriaga Dr. Slaa alivyoipiganiaga cdm ila siku kahama alitukanwa matusi yote, hivi mnategemea IPO siku Dr. Slaa ataisema vizuri cdm kwa matusi Yale? Mara Dr. Mihogo Mara cjui nn
Kiongozi hizo lugha sio type yako, rudi kwenye reliSijawahi kumsikia Dr Slaa wala Dr Mashinji wakiitukana Chadema....... Ila hawa wenye elimu za kwenye jalala.
Dr Slaa, Mashinji wako matured Sana wanajua CDM ilipowafikisha so I like maturity yao basi tu mifumo ya siasa za ki Africa.Sijawahi kumsikia Dr Slaa wala Dr Mashinji wakiitukana Chadema....... Ila hawa wenye elimu za kwenye jalala.
Naomba nisemee hapo kwenye imani. Mtu anapookoka, yaani kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, yaani kuzaliwa mara ya pili, anaanza kuongozwa na Roho Mtakatifu. Mtu huyu anahama kiimani kutoka level ya "dini" (mapokeo) na kuingia katika kuongozwa na Roho. Wakati huu ataanza kufunuliwa mambo mbalimbali kupitia kusoma Neno la Mungu yaani Biblia. Wakati huu atayabaini mapungufu yaliyoko kwenye dini aliyokuwa. Pindi atakapoanza kuayasema mapungufu hayo, ataonekana anatukana ama anaibeza dini hiyo. Lakini kimsingi unakua anatamani waliobaki humo kwenye wastuke nao waujue ukweli ili nao waanze kumfaidi Mungu wao yaani Yehova.Hakuna sababu tofauti ya dhambi ya USALITI. Hiko ndicho hasa kinachowatesa
Pia chukulia wanoitwa walokole ambao wametokea katoliki,kkkt, anglican
Na wao husumbuliwa na dhambi kutwa kutukana madhahebu waliyotoka.
Aisee you totally wrong ngoja nitulie nije kukuelimisha.Naomba nisemee hapo kwenye imani. Mtu anapookoka, yaani kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, yaani kuzaliwa mara ya pili, anaanza kuongozwa na Roho Mtakatifu. Mtu huyu anahama kiimani kutoka level ya "dini" (mapokeo) na kuingia katika kuongozwa na Roho. Wakati huu ataanza kufunuliwa mambo mbalimbali kupitia kusoma Neno la Mungu yaani Biblia. Wakati huu atayabaini mapungufu yaliyoko kwenye dini aliyokuwa. Pindi atakapoanza kuayasema mapungufu hayo, ataonekana anatukana ama anaibeza dini hiyo. Lakini kimsingi unakua anatamani waliobaki humo kwenye wastuke nao waujue ukweli ili nao waanze kumfaidi Mungu wao yaani Yehova.
Kwa mfano, mimi binafsi baada ya kuokoka nilibaini kuwa sio sawa, yaani sio ki-Biblia kuwabatiza watoto wadogo kwani wanakuwa hawajaweza kupambanua baya na jema hivyo hawajaweza kuamini. Pia ubatizo wa kunyunyizia maji sio sahihi, bali ni sharti mtu aliamini azamishwe ndani ya maji kwa maana ya kuuzika utu wa kale.
KWA KIFUPI MTU KABLA HUJAOKOKA UNAKUWA NI MTU UNAYEMWABUDU MUNGU KATIKA AKILI (NAFSI) TU, ILA MARA TU BAADA YA KUUPOKEA WOKOVU NDIPO UNAPOANZA KUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO.
...
Jesus is Lord!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina!Naomba nisemee hapo kwenye imani. Mtu anapookoka, yaani kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, yaani kuzaliwa mara ya pili, anaanza kuongozwa na Roho Mtakatifu. Mtu huyu anahama kiimani kutoka level ya "dini" (mapokeo) na kuingia katika kuongozwa na Roho. Wakati huu ataanza kufunuliwa mambo mbalimbali kupitia kusoma Neno la Mungu yaani Biblia. Wakati huu atayabaini mapungufu yaliyoko kwenye dini aliyokuwa. Pindi atakapoanza kuayasema mapungufu hayo, ataonekana anatukana ama anaibeza dini hiyo. Lakini kimsingi unakua anatamani waliobaki humo kwenye wastuke nao waujue ukweli ili nao waanze kumfaidi Mungu wao yaani Yehova.
Kwa mfano, mimi binafsi baada ya kuokoka nilibaini kuwa sio sawa, yaani sio ki-Biblia kuwabatiza watoto wadogo kwani wanakuwa hawajaweza kupambanua baya na jema hivyo hawajaweza kuamini. Pia ubatizo wa kunyunyizia maji sio sahihi, bali ni sharti mtu aliamini azamishwe ndani ya maji kwa maana ya kuuzika utu wa kale.
KWA KIFUPI MTU KABLA HUJAOKOKA UNAKUWA NI MTU UNAYEMWABUDU MUNGU KATIKA AKILI (NAFSI) TU, ILA MARA TU BAADA YA KUUPOKEA WOKOVU NDIPO UNAPOANZA KUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO.
...
Jesus is Lord!
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia padri mzinziMnatukana sana matusi ndo maana nao wanafanya reactions, chadema mbadilike msiwatukane na kuwadhalilisha wanaowahama lasivyo mtazidi kujiongezea maadui.
Yaani nikifikiriaga Dr. Slaa alivyoipiganiaga cdm ila siku kahama alitukanwa matusi yote, hivi mnategemea IPO siku Dr. Slaa ataisema vizuri cdm kwa matusi Yale? Mara Dr. Mihogo Mara cjui nn