Kwanini wabunifu na wanamitindo wengi wa nguo (wanaume) wanashiriki mapenzi ya jinsia moja?

Mkuu, unataka kusema kwamba hii picha uliyoambatanisha katika hili bandiko lako ni picha ya mwanaume?
 
HUYO JAMAA NAMJUA SANA very ambitious japo ana swag za kike japo hajathibitika kua shoga alimaliza pale tusiime

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Khaa ni mwanaume huy kumbe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
uwiii uyu ni mwanaume???

Huyu ni demu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani huyo ni mwanaume?

Tuanzie hapa kwanza kwani huyu ni mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo unataka kusema na huyu ni mwanaume? Mzuri kuliko dada yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sitaki kuamini Kama huyo jamaa ni mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo ni demu bana siyo mwanaume

Duh, huyu ni male?

Aiseee, huyo jamaa ni mwanaume? Serious!! Dunia ishavaa suti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bila shaka huyu kwenye picha ni mwanamke???

Kwani huyo kwenye hiyo picha ni wa kiume?

Unataka kuniambia, huyu kwenye picha ni wa kiume

Huyu anazingua ,huyu pichani ni mdada

Huyu ni demu bhana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani kwenye hiyo picha ni mwanaume ,duh

Sent using Jamii Forums mobile app

UNAMAANISHA HUYU NI KIJANA WA KIUME?
ah please!
na hili hips?
lips?
mikogo?
hiyo pochi kabeba!
hapana jamani!
Nilivyosikia ni dume ilibid niingalie hiy pich zaid na zaid YARAB TUNUSURIE VIZAZI VYETU AMIN[emoji120]
 
Mkuu, unataka kusema kwamba hii picha uliyoambatanisha katika hili bandiko lako ni picha ya mwanaume?
Yaap mkuu jamaa anaitwa Frank mi nimemeet nae tu instagram tukaanza kuchat kihispaniola mtoto yupo vzr kene lugha
 

It is non of you business, as long as hawaingilii uhuru wa mtu kisheria. Usilete mila za kabila lako hasa watu wa pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYO JAMAA NAMJUA SANA very ambitious japo ana swag za kike japo hajathibitika kua shoga alimaliza pale tusiime

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Yeah, enzi zile za kasabila na rugambwa
 
Maston migambile.. Jamaa ilikuwa ukikaa nae ni shida
 
Kumbe Wema ana dildo?


Ulikuwa hujuwi.....walikuwa wanalichezea sana yeye na mbeba pochi yake (Aunt Ezekiel), kuna siku walitaka kumlawiti Petit Man, dogo acha akimbie mtaani. Ukitaka kujuwa vituko vyao nenda pale alikokuwa anakaa zamani (Kijitonyama) utasikia maajab mpaka utajinyea. Haya maunga na bangi wanazotumia ndizo zinawafanya wawehuke.
 
Hivi hapa kina Martin Kadinda na Sheria Ngowi wako wapi....nasikia walikwenda kuandamana wiki iliyopita kutaka shule ya mashoga na designers hapa Dar. Hapa walikuwa wakielekea ofisi ya mkuu wa Mkoa, DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…