lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Mkuu, unataka kusema kwamba hii picha uliyoambatanisha katika hili bandiko lako ni picha ya mwanaume?Wakuu nimejiuliza na kushangaa yani wanaume wengi wa Tz ambao wanafanya shughuli za ubunifu/mitindo(Designer/modeling) wanakua na tabia za kike kike na wengine wana muonekano wa kidemu?
Najua mnawajua madesigner wa kibongo wenye mambo ya kidemu/kishoga shoga hii inasababishwa na nini jamanii??![]()