Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
[emoji23][emoji23][emoji23]Ungepewa kanafwasi ungemchagua nani kumaliza naye week end hii?? Wa kulia au wa kushoto?? Maanake naona wote walitoka kwenda job. Kweli wazibua mitaro wana kazi
Hapana hawa niwa ghanaKabla sijakomenti, hawa ni Watanzania?
Huyu hapa.Wa kike ni yupi kati ya hawa?
Yule naye ni bwabwa tu.Mtu anayeshabikia mambo ya mitindo huyo mtazame mara mbili...
Kuna yule jamaa anasema "Dhambiii za fasheoniiiiii" Yule hua ananitia wasiwasi
Kumbe jamaa fundi kushona!Kuna msela wangu miaka mingi kidogo alimtafuna sana huyo Fundi charahani Wakihindi....
Yule chakula ya watu mzee [emoji28]Mtu anayeshabikia mambo ya mitindo huyo mtazame mara mbili...
Kuna yule jamaa anasema "Dhambiii za fasheoniiiiii" Yule hua ananitia wasiwasi