wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
KweliKwanza,
Huyu dogo mother yake katufundisha sana tuition miaka hiyooo nakumbuka wakati kadogo sana kalikuwa vizuri tuuh sasa nikaja kushangaa siku namuona UDSM pale kwa mwenendo na kampani aliyokuwa nayo nikabakiwa namshangao hadi leo ni yapi yalimsibu kufikia hapo.