Kwanini Wachagga wanaongeza herufi mbele ya kila neno?

Kwanini Wachagga wanaongeza herufi mbele ya kila neno?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Mfano badala ya kutamka baba wao wanasema babaa. Mfano badala ya kutamka mama wanasema mamaa, dadaa au kakaa.

Wanataka watengeneza kiswahili chao?
 
Mfano badala ya kutamka baba wao wanasema babaa. Mfano badala ya kutamka mama wanasema mamaa, dadaa au kakaa.

Wanataka watengeneza kiswahili chao?
ni sawa na sisi wasukuma tunapenda kuongeza neno "ga" kwenye maneno mengi .... na kumalizia na "hiiii"

utamaduni tu wa lugha huu.
 
Wahaya mko nyuma Sana Kwa action
 
Back
Top Bottom