Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

Duh! siku nitajaribu kuweka Uzi mule..
Eti nitajaribu. Lol. 🤣

We uweke tu ndugu yangu kisha tembeza tags za kutosha kwa wadau bila kumsahau Mwasibu. 😅😅
 
Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
You know English is very difficult to learn so let us speak our mother language
 
Kinge ni mtihani mkuu kuunga preposition na past tense mpaka mtu akuelewe sio kazi ndogo na haya ma EGM yetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…