Kwanini wacheza betting wa humu JF hamna ushirikiano?

Kwanini wacheza betting wa humu JF hamna ushirikiano?

sir None

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
428
Reaction score
214
Niliomba Masaada kwenye thread Kama mbili jinsi ya kupata pesa yangu kidogo kutoka mbet niliyoshinda watu wanapita na kuangalia tu kama nyanya chungu. Nilikuwa na mtaji wa shilingi 2000 sasa umekata na nahitaji hyo pesa lakn hakuna anayenisaidia. Basi acha nikae bola kubeti si ndo raha tenure.
 
Hamna watu wenye ushirikiano kama wazee wa mikeka,we nenda jukwaa lao hapo chini,sports
 
Kwa uandishi/uwandishi huu,hata hii thread nayo pia wataipita tu! tatizo ni wewe na sio wana JF.
 
watu wa mbet huwa MNA matatizo hata mkieleweshwa hamuelewi!
 
Wew itakuwa una nongwa, ulipitia kule jukwaa la kubet ukakosa kusaidiwa!?
 
Back
Top Bottom