Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi huku mchezaji wa kigeni analipwa zaidi ya T.shs. millioni ishirini na moja mpaka milioni ishirini na nane kwa mwezi.
Tofauti hii ya mishahara ni mikubwa mno ni vema Klabu ikarekebisha mishahara ya wachezaji wazawa na wengi wao ndo tegemeo na ndiyo wanaoleta ushindi kwa klabu.