Comrade, wewe hapo kwa mwezi unaliowa mshahara wa shilingi ngapo mpaka upate ujasiri wa kuijadili mishahara ya wenzako?Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi huku mchezaji wa kigeni analipwa zaidi ya T.shs. millioni ishirini na moja mpaka milioni ishirini na nane kwa mwezi.
Tofauti hii ya mishahara ni mikubwa mno ni vema Klabu ikarekebisha mishahara ya wachezaji wazawa na wengi wao ndo tegemeo na ndiyo wanaoleta ushindi kwa klabu.
Mikataba muhimu.Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi huku mchezaji wa kigeni analipwa zaidi ya T.shs. millioni ishirini na moja mpaka milioni ishirini na nane kwa mwezi.
Tofauti hii ya mishahara ni mikubwa mno ni vema Klabu ikarekebisha mishahara ya wachezaji wazawa na wengi wao ndo tegemeo na ndiyo wanaoleta ushindi kwa klabu.
hata madada poa bei tofauti japo wate wapo sokoniNimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi huku mchezaji wa kigeni analipwa zaidi ya T.shs. millioni ishirini na moja mpaka milioni ishirini na nane kwa mwezi.
Tofauti hii ya mishahara ni mikubwa mno ni vema Klabu ikarekebisha mishahara ya wachezaji wazawa na wengi wao ndo tegemeo na ndiyo wanaoleta ushindi kwa klabu.
Milioni 5 hivi unaona ni ndogo mkuu? Expert ni expert tu mkuu ,foreigner ni foreigner tu ,hata wewe ukineda nchi nyingine utalipwa fedha nyingi kuliko wazawa maana kuna hela inakatwa za vibali inaingia serikalini...Kuna % ya meneja hapo.Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.