Kwanini Wachezaji wa Simba SC wakifundishwa na Kocha Juma Mgunda huwa na Furaha, Amani, Uchangamfu na Uwajibikaji mkubwa kuliko Makocha wa Kigeni?

Mkuu Genta nakuomba urudi kwenye ahadi yako ya kuachana na lugha zisizofaa, ukichokozwa wewe report kwa Moderator afanye yake.

Siku chache nilianza kuona unajiheshimisha na kuachana na tabia za kupambana na wanaokuonea wivu, rudi njia kuu hakika tutakuongezea nishani nyingine.
 
Kwa hiyo akipewa mshahara mnono ndio ujuzi unaongezeka. Watu wengine akili ni za kwendea chooni tu.🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo akipewa mshahara mnono ndio ujuzi unaongezeka. Watu wengine akili ni za kwendea chooni tu.🤣🤣🤣
Nilishasema na bado narudia kusema Siku zote ukiwa Mpumbavu ( Fool ) kamwe hutoweza kunielewa / kumuelewa GENTAMYCINE na aina yake ya Uwasilishaji wa Mada zake hapa JamiiForums na ukiwa Mpumbavu kama Ulivyobarikiwa utakurupuka kuona Mada yangu haina maana ila kwa wale Intelligents Members na wanaonijua vyema hapa wameshajua ni kwanini nimeanzisha huu Uzi na Makusudi yangu makuu ni nini. Pole sana na endelea kubakia na huu Upumbvu wako tukuka ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Kudadadeki.
 
Yaani kuzifunga timu mbili zinazoshika mkia huku moja ikifungwa kwa kuonewa ndiyo kutujazia nyuzi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…