GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda waulizwe wachezai wenyeweUongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
yu karibu nao,hakai kwenye benchi mpira ukiisha saa nzima,anaongea nao kiswahili,sio kifaransa au au kiarabu na hirizi anavaaUongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
Nimecheka mpaka basi.Popoma msimu wa kukaa airport kudaka juu kwa juu ushafika...hakikisha unaukweka mapema unawahi airport
Nami nimelihisi / nimeliona hilo Mkuu.labda lugha!..😅
Wauza Nazi na mayai ya kienyeji Huwa wanafanya biashara Sana.Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
mgunda anajua simba na mazingira yetu anajua kuishi kinafki na wachezaji..Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
Nilishasema na bado narudia kusema Siku zote ukiwa Mpumbavu ( Fool ) kamwe hutoweza kunielewa / kumuelewa GENTAMYCINE na aina yake ya Uwasilishaji wa Mada zake hapa JamiiForums na ukiwa Mpumbavu kama Ulivyobarikiwa utakurupuka kuona Mada yangu haina maana ila kwa wale Intelligents Members na wanaonijua vyema hapa wameshajua ni kwanini nimeanzisha huu Uzi na Makusudi yangu makuu ni nini. Pole sana na endelea kubakia na huu Upumbvu wako tukuka ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Kudadadeki.Kwa hiyo akipewa mshahara mnono ndio ujuzi unaongezeka. Watu wengine akili ni za kwendea chooni tu.🤣🤣🤣