Kwanini Wachezaji wa Simba SC wakifundishwa na Kocha Juma Mgunda huwa na Furaha, Amani, Uchangamfu na Uwajibikaji mkubwa kuliko Makocha wa Kigeni?

Wachezaji wajinga hawaelewi maelekezo ya makocha wa kigeni.
 
Eneo serious ambalo SIMBA ni HAMASA ndani ya kambi na atmosphere yake....hata wasanii vipi, hili eneo YANGA wako mbali...kuanzia coach, rais , msemaji ...ukiona tu..
 
It's common even for a mugger who always succeeds in his mission to perceive himself as a celebrity.

And remember, when you're fool you can't realise that you're fool but it's the people who realise. It's the same as when you die you cannot realise that you're dead but it's the people who realise. I think you can understand my gist.
 
Umekula cha Arusha wew mgunda Hana Akili WALA mbinu za kukabili timu za club bigwa

Kaka wewe una Akili sanaaaa
Ndio Maana hata Watani wetu Yanga wakiachana zamani sanaa na Makocha wazawa!

1.Unaona Yanga ilivyobadilika chini ya Nabi
2.Yanga ilivyobadilika chini ya Gamondi na Zile mbinu kwa Mamelodi hadi wakaomba Po!
Mzawa hawanaga mbinu…

Ukweli Tuna Vipaji Ila watu weupe wametuzidi kwenye mbinu,Kuusoma Mchezo,Kujua nini kifanyike na kwa wakati gani!
Wenzetu yanga hawawezi rudi wakikotoka kwa wazawa Aiseee!

Labda cha Msingi ni Mgunda Kuwa Kocha Msaidizi akipanga timu haswa kwa Mechi za Ligi kuu…Halafu Kocha wa Kigeni kwa wajili ya Mechi za Kimataifa.
Na Mgunda aweze Kupewa Mshahara Mzuri tuu!
Huu ndio Ushauri wangu!
 
Bora umekula ban aisee
kinachonishangaza huyu jamaa hata mimi simpendi kweli kweli ila bado tu kwa upumbavu wetu mimi, wewe na hata naona na Aigle nae kutwa tu tunamshobokea. hivi na waume zetu nao huwa tunawafuatilia hivi kama ambavyo tunapenda kumfuatilia huyu tusiyempenda? na mimi pia nimefurahi kuona kapewa ban na akome huko aliko ila sijui kwanini hatuachi kuwafuatilia members wenye akili lakini bado tunamfuatilia yeye tu. atakuwa ana mganga mzuri sana nahisi
 
Mpira haufundishwi siku moja tu. Mgunda hajaifundisha Simba kwani ndipo ameanza tu, performance ya sasa ya Simba haitokani na mafundisho yake bali labda ni mchanganyiko wa bahati na wacheazji kujituma tu. Benchika hakuwa na bahati na vile vile wacheazji walikuwa hawajitumi kabisa.
 
Mgunda anachanganya damu changa na wakubwa.
Benchika yeye kila siku Ntibayonkiza anaanza mwanzo mwisho.
Mgunda kawaleta damu changa kama akina Barua, Karabaka, Chasambi nk.
Vijana wanapumzi muda wate is wako fiti.
 
Ukibadilisha coach, unabadilisha wote. Kuna hujuma kubwa kati ya viongozi , players and bench la support. Fukuda wote
 
Alitupatia sare nyingi sana za caf na ligi. Hata leo umeona kule kagera.

Anahitaji kuwepo kwenye benchi lakin sio kama kocha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…