Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Na bhange anawaruhusu wanavuta.yu karibu nao,hakai kwenye benchi mpira ukiisha saa nzima,anaongea nao kiswahili,sio kifaransa au au kiarabu na hirizi anavaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bhange anawaruhusu wanavuta.yu karibu nao,hakai kwenye benchi mpira ukiisha saa nzima,anaongea nao kiswahili,sio kifaransa au au kiarabu na hirizi anavaa
Umeandika pumba.Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
Bora umekula ban aiseeUongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
It's common even for a mugger who always succeeds in his mission to perceive himself as a celebrity.Nilishasema na bado narudia kusema Siku zote ukiwa Mpumbavu ( Fool ) kamwe hutoweza kunielewa / kumuelewa GENTAMYCINE na aina yake ya Uwasilishaji wa Mada zake hapa JamiiForums na ukiwa Mpumbavu kama Ulivyobarikiwa utakurupuka kuona Mada yangu haina maana ila kwa wale Intelligents Members na wanaonijua vyema hapa wameshajua ni kwanini nimeanzisha huu Uzi na Makusudi yangu makuu ni nini. Pole sana na endelea kubakia na huu Upumbvu wako tukuka ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Kudadadeki.
Wacha akatumie upinde wake kuwinda njee ya jukwaa...Nimefurah sana huyu NDUKU kupewa ban.
Umekula cha Arusha wew mgunda Hana Akili WALA mbinu za kukabili timu za club bigwa
kinachonishangaza huyu jamaa hata mimi simpendi kweli kweli ila bado tu kwa upumbavu wetu mimi, wewe na hata naona na Aigle nae kutwa tu tunamshobokea. hivi na waume zetu nao huwa tunawafuatilia hivi kama ambavyo tunapenda kumfuatilia huyu tusiyempenda? na mimi pia nimefurahi kuona kapewa ban na akome huko aliko ila sijui kwanini hatuachi kuwafuatilia members wenye akili lakini bado tunamfuatilia yeye tu. atakuwa ana mganga mzuri sana nahisiBora umekula ban aisee
Chuki za kike hiziUmeandika pumba.
Comment ya kipumbavu sijapata kuona.Chuki za kike hizi
Chuki za kike hiziComment ya kipumbavu sijapata kuona.
Ila pamoja na kuwa Kwako na Akili bado umezisoma tu hizo Pumba zangu. Idiot...!Umeandika pumba.
Naona Sindano ya Jamaa imekuingia kweli kweli japo Unazuga.Comment ya kipumbavu sijapata kuona.