Wabongo wanakua mdebwedo kwenye 30 wakati wazungu na south America wanakipiga mpaka 38-40?Sio wachezaji wabongo karibu wote tunawahi kuchoka
Unajua kilo anazoshishia drogba wewe?
Labda ungesema mlo mbovu ningekuelewa.
Mchezaji huwezi shindia chipsi utegemee kufanya makubwa uwanjani.
Wabongo wanakua mdebwedo kwenye 30 wakati wazungu na south America wanakipiga mpaka 38-40?
At least nchi za west Africa kama ivory coast, Nigeria, Ghana, Senegal, na north africa kama Egypt, morocco, Algeria wako vizuri sana.
Wale ni qualified players unlike tz.
Unataka unaiambie benchi la ufundi huwa hawaambii namna ya kujenga mwili pamoja na vyakula wanavyopaswa wale "Diet"?Drogba atakuwa amefanana na weupe katika mlo...wenzetu hawali vitu vigumu kama vile ugali na viazi,,, wenzetu wanakula vitu laini laini na mazoezi kwa wingi. Ni hilo tu mkuu,, sisi huku tunashindia ugali na chips mayai yenye mafuta mengi wapi mwili utapata afya babaa
Hahaha mkuu ni kweli kabisa nakubaliana na wewe kuhusu swala la umri.Wachezaji wengi wa Tanzania wanadanganya umri. Utakuta mtu tayari ana miaka 25 lakini atadanganya ana miaka 17 hapo tayari amejichota miaka nane.
Hii hata mimi imeshanitokea kipindi fulani cha nyuma kwenye michuano ya Copa Coca-cola Arusha ilibidi tufoji miaka ili tuweze kuahiriki. Hata ile ya Airtel Rising Star nayo tulifanya hivyo hivyo.
Unakuta kwenye team nzima waliopo kihalali sio zaidi ya watato wengine wote tumefoji umri. Sasa kwa wale wenzetu waliofanikiwa kuendelea pamoha na kutengeneza vyeti vya kuzaliwa vyenye taarifa za kufoji ndio hao ambao huishia kuchoka mapema kabisa.
Utashangaa mchezaji kama Okwi pale simba unaambiwa ana miaka 25 sasa hivi. Ni maajabu kwa kweli.
Ulizia umri wa Ngassa ucheke. Wachezaji wa kibongo kufoji umri ndio kitu kinacho waumbua na kuonekana wanachoka mapema ila sio kwamba wanachoka mapema bali ndio mda sahahi umefika.
Akili inataka mwili unagoma.
Uzuri kinachombeba ni kiwango. Hajawahi kuchuja hivyo haleti sintofahamu sana kwa mashabiki.Hahaha mkuu ni kweli kabisa nakubaliana na wewe kuhusu swala la umri.
Kwa mfano okwi mwaka 2012 nilisikia kazaliwa kati ya 88 au 89 leo anasema kazaliwa 92? hahahah uongo mkubwa sana huo kwanza ukimuangalia hata mwili wake ni mtu anaegongwa 30 sio chini ya hapo.
Ngasa kazaliwa 89 sawa na tegete.
Mgosi na kaseja ni 85 hapo sioni shida.
Canavaro kazaliwa 80 hapa hamna tatizo.
Okwi msanii sana ila ataweza umbuka siku moja kwa sabt tupo ulimwengu wa kidigitali.
Umeniibia idea yanguWachezaji wengi wa Tanzania wanadanganya umri. Utakuta mtu tayari ana miaka 25 lakini atadanganya ana miaka 17 hapo tayari amejichota miaka nane.