jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 623
Huwa najiuliza sana na kukwazika pale ninapoona wachezaji vijana wa Tanzania vijana kabisa damu inachemka wanastaafu wakifikisha miaka 30!
Sijui tatizo ni nini ila ningetegemea wakipige mpaka 38-40 ndio wastaafu.
Tatizo ni nini hasa?
Watu kama kaseja, musa hassan mgosi na wengineo walistaafu na 30!
Afadhali canavaro kakipiga mpaka 37 au 38 ndipo akatundika daluga.
Kwa namna hii kuna ulazima wa mastaa wetu wajiangalie kwa kweli kwani hawatupi burudani tunayoipenda.
Kwa waliozaliwa 1985 ni mapema mno kustaafu,