Tumeona haya kwenye soka la wenzetu huko Duniani wachezaji wakivuna mabilioni ya dollars kwa kuingia mikataba binafsi ya Udhamini. Na hii inamfanya mchezaji kuvuna pesa ndani na nje ya Uwanja.
Kutokana hili katazo lililotoka kwenye mamlaka za michezo litaleta afya kwa wachezaji wetu hasa hawa wanaotoka kwenye Vilabu ambavyo vinapata Gawio dogo kutoka kwa Mdhamini/Wadhamini na vile ambavyo havina Wadhamini wao tofauti na Azam Media?
Hii inaleta Ukakasi kwenye Soka letu.
#solomatv_updates
View attachment 2720949