Kwanini wachezaji wasiingie mikataba binafsi ya udhamini?

Kwanini wachezaji wasiingie mikataba binafsi ya udhamini?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Tumeona haya kwenye soka la wenzetu huko Duniani wachezaji wakivuna mabilioni ya dollars kwa kuingia mikataba binafsi ya Udhamini. Na hii inamfanya mchezaji kuvuna pesa ndani na nje ya Uwanja.

Kutokana hili katazo lililotoka kwenye mamlaka za michezo litaleta afya kwa wachezaji wetu hasa hawa wanaotoka kwenye Vilabu ambavyo vinapata Gawio dogo kutoka kwa Mdhamini/Wadhamini na vile ambavyo havina Wadhamini wao tofauti na Azam Media?

Hii inaleta Ukakasi kwenye Soka letu.

#solomatv_updates

1692376325721.jpg
 
KWA sasa kumpata mdhamini ni jambo gumu,kuna mwaka mdhamini alikosekana msimu mzima. Hivyo mdhamini anabembelezwa kwa kupewa vifungu vya kumshawishi.

Ligi za ulaya zinavutia wadhamini wengi hivyo hawezi kuwabana wachezaji

Linganisha ligi ya sasa na ligi ya ulaya miaka ya 70 au 80.

Ulaya Itakuwa hatua hizo nao walizipitia wakati wanabembeleza wadhamini.
 
Tumeona haya kwenye soka la wenzetu huko Duniani wachezaji wakivuna mabilioni ya dollars kwa kuingia mikataba binafsi ya Udhamini. Na hii inamfanya mchezaji kuvuna pesa ndani na nje ya Uwanja.

Kutokana hili katazo lililotoka kwenye mamlaka za michezo litaleta afya kwa wachezaji wetu hasa hawa wanaotoka kwenye Vilabu ambavyo vinapata Gawio dogo kutoka kwa Mdhamini/Wadhamini na vile ambavyo havina Wadhamini wao tofauti na Azam Media?

Hii inaleta Ukakasi kwenye Soka letu.

#solomatv_updates

View attachment 2720949
Kanuni ya kimangungo na kishamba timu zinawadhamini wa kit Say Adidas lakini mchezaji anaruhusiwa kuingia mkataba wa Kiatu na Nike/puma/New Balance
 
Wewe umedhamini ligi kwa 1bilion mpinzani wako anakuja na million 100 anachukua wachezaji wawili tu wanaosikika kama ilivyokuwa mayele msimu uliopita then wanapewa tangazo.
 
Mbona sio harsh kiivo wakuu. Maana mdhamini nae anataka pesa yake irudi sasa hawezi mruhusu mshindani wake achomoe walewale anaowadhamini yeye ili ajinufaishe kindezi tu.

Binafsi naona NBC wako sawa, Bongo sio ulaya wakuu si lazma kila kitu unafananisha na ulaya.

Mpira wetu kivyetuvyetu.
 
Back
Top Bottom