Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji
Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU
Watumishi wa MUNGU waitwe waje eneo hilo wana faida sana
Waitwe waje wafanye maombi
Cardinal pengo aje fanye Sala huenda Kuna Neema MWENYEZI MUNGU ataichai na ndugu zetu watatoka salama
Masuala ya kiroho yaan nguvu sana
AMINA