I think its Just Security na Desire of Having a family.... kwa sisi wanaume is easy kuwa na partner huyu kesho yule, na kwenye society usionekane vibaya sana kama mwanamke akiwa na partners wengi kwa society anaonekana hafai na sio heshima. Pia who wants to be played.
Ndoa is like "an offer very hard to be refused".......... kwahiyo kwa yule atakayeiweka offer hii on the table ni bora kuliko yule anayetaka matanuzi - anyway ngoja kina dada wenyewe wajibu nisiwajibieNi sawa mkuu, lakini najiuliza kipi kinatangulia kabla? kati ya kumpenda mwanaume wako atakayekuwa mumeo na kuipenda ndoa?
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
With all this Chiniese products na cosmetic surgeries bado inachakaa???? I doubt it. Lakini what I think kinachochakaa zaidi ni heshima, na status katika Jamii.ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
Asante dada Pauline nimekuelewa! Lakini sidhani kama ni wote wenye mtizamo huo.ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
Wapo wengi sana wa dizaini hii hapa hata hamjafahamiana fresh anataka NDOA!!
Lakini na sisi wanaume inatakiwa 2siwachezee 2 lakini kutangaza ndoa......!!!
Commitment kama hiyo inabidi u THINK IN 3 DIMENSIONS ucje ukajitia kitanzi!!
With all this Chiniese products na cosmetic surgeries bado inachakaa???? I doubt it. Lakini what I think kinachochakaa zaidi ni heshima, na status katika Jamii.
Nimesikia Stories kwa wale ambao huwa ni wagumu kukubali ndoa mara nyingi kuna mabinti wachache (I mean wachache sio wengi) huwa wanawatrap kwa kubeba mimba ili mwisho wa siku mtu hakose cha kufanya bali kuoando hofu yangu injinia, Ukiona mtu anataka ufanye jambo fulani kwa haraka inabidi uwe mwangalifu sana! bila hivo utakayokuja kuyasikia baada ya kufunga pingu za maisha utatamani ardhi ipasuke uingie usionekane tena.
Kumbuka ndoa ya Mkristo ni moja tu, Golden chance never come twice!
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
Mwe! πop2:
ile kitu ikiwa imechakaa noone will be interested kukuoa and as a result heshima inapungua na hivyo kukufanya kuwa desperate!(its the other way of putting it...:redfaces::redfaces:πarty:
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces:
Lakini umetoa fundisho jinsi ya KUIBANA au inachakaa kivp hapo??!!!:A S-confused1:
hahahaa sio wote wenye acess na internet... i just assume lile somo litakuwa limewafikia wanawake wachache saaana kinyume na ambavyo ningependa...so kuna uwezekano kabisaaa kwa bahati mbaya wanawake wengine wakakosa lile darasa na kwa bahati mbaya nanihii zao zikachakaa kwa kutokujua!πarty: