pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
Sasa huamini nini hapo mpaka uniambie ya kutunga,kwani kuna nini cha ajabu hapo ambacho hakiwezekani?Nikikusimulia experience yangu katika haya mambo utashangaa na nadhani server ya JF itajaa kabla sijamaliza.
mnh kibibi cha miaka 63 kabisaaa,wacha niwe Tomaso...mpaka nione ndio ningeamini,