Sasa huamini nini hapo mpaka uniambie ya kutunga,kwani kuna nini cha ajabu hapo ambacho hakiwezekani?Nikikusimulia experience yangu katika haya mambo utashangaa na nadhani server ya JF itajaa kabla sijamaliza.
Nimesikia Stories kwa wale ambao huwa ni wagumu kukubali ndoa mara nyingi kuna mabinti wachache (I mean wachache sio wengi) huwa wanawatrap kwa kubeba mimba ili mwisho wa siku mtu hakose cha kufanya bali kuoa
Na ndo maana siku hizi ndoa nyingi watu wanaoana wakiwa na mimba hiyo
ni njia ambayo wadada wachache wamejua jinsi ya kuwateka wanaume na kuwafanya wawaoe lol!!!!
mnh kibibi cha miaka 63 kabisaaa,wacha niwe Tomaso...mpaka nione ndio ningeamini,
Nazidi kukushangaa,kwani hana?Na ujue kadri anavyozidi kuzeeka ndio inavyorudia utoto.Haya ni maumbile tu mama,na yanatofautiana kati ya mtu na mtu ni kama sisi wanaume utakuta huyu ana kibamia na mwingine anatikiti maji na nyie ndio hivyo utakuta huyu ana mfereji na mwingine ana mtaro, hayo ya kuchakaa na mimi nakataa kama wewe unavyokataa habari yangu na bibi kizee wangu.
ni kwa sababu ya ile kitu yetu,the more you have partners the more inachakaa and less chances of finding someone who will be interested na hio bidhaa...so we always pray tunayempata ndio huyo atayeclose deal!!!:redfaces::redfaces: