Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ugumu wa maisha umewafanya watu wamekuwa takataka kabisa.
Wazazi wanapokea vibahasha vya mabazazi wanachekelea kama mazuzu tu, hata kama hayo mabazazi yameoa.
Mtu mzima na elimu yake anatukanwa pumbavu tena mbele ya kamesa halafu anacheka cheka na kujifanya hajasikia maisha yaendelee.
"Chakula na Njaa" hudhalilisha sana watu.
Kama Njaa Kali, Kodi Unadaiwa, Watoto Hawajala.
Wewe Mwenyewe Jua La Utosi Na Huna Tumaini Lolote.
Mabazazi Yatakuwa Yanakuja Kumgongea Hapo Hapo Kwako. Bora Aondoke Ubaki Kusikia Tu.