sawa mjumbe mkongweUmeshaambiwa sababu ni winta bablai.
sawa mjumbe, kumbe ni utamaduni na sio sababu ya baridiPombe ni kawaida huko uchagani kuanzia utotoni. So usishangae sana
mkuu fafanua wajumbe wengine waeleweWanapolewa sasa, huishia kusukumwa na upepo.
Nionyeshe Mwanamke mlevi asogongeka kirahisi .mkuu fafanua wajumbe wengine waelewe
Ni kiutamaduni tu Cha watu mama tangia mjamzito anapiga mbege, akizaa wakati wa kunyomyesha akinywa mbege maziwa yanatoka Hadi kumwagika mtoto anakuwa huku kashaanza kunywa mbege, so akikua ni kawaida, Wala sio baridisawa mjumbe, kumbe ni utamaduni na sio sababu ya baridi
Jamaaa niaje aseee, umepoteaSimple. Mazingira na malezi. Ila sana sana mazingira
hapa wajumbe washakuelewa.Nionyeshe Mwanamke mlevi asogongeka kirahisi .
Kwa ufupi hawa walevi wanafaa kwa matumizi tu.
Lkn huwezi hesabu chochote cha faida juu yao.
Wambie wasinifokeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mjumbe umesahau kichinjio?ntarudi
ahsante sana mkuu, maelezo ya kina sana nadhani wajumbe wote washaelewa.Ni kiutamaduni tu Cha watu mama tangia mjamzito anapiga mbege, akizaa wakati wa kunyomyesha akinywa mbege maziwa yanatoka Hadi kumwagika mtoto anakuwa huku kashaanza kunywa mbege, so akikua ni kawaida, Wala sio baridi
[emoji120][emoji120][emoji120]ahsante sana mkuu, maelezo ya kina sana nadhani wajumbe wote washaelewa.
sio yote mkuu, mikoa mingine wanautaratibu wakula viporo vya ugali na viazi vitamMikoani Mbege,wanzuki,komoni,ulanzi ni vitu vya kawaida hasa mikoa yenye baridi .
π π πHahahaha
wajumbe hawaruhusiwi kuingia na ulabuTwende na LISSU2020